Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Porojo tupu !
 
Kwani shida iko wapi! Hiyo ndiyo halihalisi ilipotufikisha CCM na hiyo gest ni mali ya CCM kwenye jengo lao.
 
Ila kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.

Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.

Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu
Nimefanya kazi Halmashauri na pia nimeratibu kazi kadha wa kadha kutokea ofisi ya Mkuu wa Wilaya
Kwa mfumo wa nchi yetu, na ucheleweshwaji wa mambo hasa utaratibu wa mashauri mahakamani, na matukio yasiyo na kichwa wala miguu yatokeayo kwa wanainchi ni WAZI OFISI YA MKUU WA WILAYA BADO INA UMUHIMU MKUBWA

MKUU WA WILAYA ANATATUA MATATIZO KIUTAWALA ZAIDI....Mfano anawaweka ndani watoa huduma au suppliers waliochukua pesa za MASHULE AU MRADI mpaka watakapofikisha vifaa site au kurejesha pesa kwa hiyo ndani ya siku tatu Ujenzi utaendelea....ILA MKURUGENZI ATATAKA WAPELEKWE MAHAKAMANI mahakama itoe uamuzi HAPO TAYARI UCHELEWESHWAJI WA MRADI.

Kwa mfumo wa hii nchi MKUU wa WILAYA ni muhimu sana labda tufanye utatuaji mkubwa wa mifumo kwa ujumla wake
 
Ila kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.

Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.

Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu
Kuwatwisha mzigo wananchi walipa kodi !! 🙏
 
Ila kwakweli hizi nafasi za uDC zingefutwaga tu.

Maana maDC hawana kazi zaidi ya kusolve migogoro ambayo inaweza kutatuliwa na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri zetu tu.

Ni kupoteza gharama na kuitwisha mzigo Serikali wa kuwahudimia tu
Nakazia!
 
Kwa kijijini huko imetulia, maana labda kijijini kizima huko guest Yao pekee.
 
Kwani DED hawezi kutatua Mkuu?
 
Kwani hao maDSO si ndiyo wanafanya hizo kazi? Hata DED angeweza kuongezewa hilo Jukumu
 
DED anatanya kazi kitaalamu kwa kufuata miongozo wakati DC anatoa amri za papo kwa papo.
Nafahamu ila natafuta sababu za kubana Matumizi ya Serikali Kwa kuondoa baadhi ya Utitiri wa Viongozi kama hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…