Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

Kwani DED hawezi kutatua Mkuu?
DED hawezi kwan anatumia taaluma kwenye utatuzi wa matatizo jambo linalochelewesha maamuzi kwenye jamii....mfano atataka mlolongo wa mahakamani kwenye mambo ya buu baa hivyo kufanya jamii iwe na vuguvugu jingi kwenye mambo yasiyohitaji joto
 
100% uko right we kama wakule tunaweza tukawa tunafahamiana
 
Njoo nikupe zawadi kwakua mkweli.
 
Nimeripoti hii kitu kwa Mods, wazingatie sheria kwa mtu kuripoti uongo mkubwa namna hii
 
Mtatiro alikuwa na akili alipokuwa CUF lakini baada ya kutoka huko na kupewa u-DC amekuwa punguani
 
Kwahio angezindua Rais ?!! Au tungealika Marais kutoka nchi mbalimbali za Africa waje kushuhudia ?

Au angesema hii sio hadhi yangu sifungui ? Nadhani wewe ukipata wadhifa au kama una wadhifa bila ombi la miaka mitano kabla huwezi kufanya jambo....; (Anyway atleast wageni zaidi wanapata Malazi)
 
Msiwe mnasema "kazi iliyotukuka" ilo neno nizito sana na linahitaji utafiti ndipo tuseme!! Msikufuru Mola kazi yakutukuka ni ya Mola!!!
 
Huo ni mwendelezo wa uzinduzi wa Viwanda vidogo aliouanzisha Mwijage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…