Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Watu wanatekwa Soka na wenzake hawajulikani walipo.
arusha kuna kikosi cha ccm kinaitwa chinja chinja na kiongozi wake anafahamika
Kagera uvccm wanawatowesha wakosoaji na hakuna hatua wanachukuliwa
Serikali ya ccm inachezea moto na kuna siku utaiunguza vibaya muda ni msema ukweli mzuri.
 
kupitia falsafa ya 4Rs,
Rais wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za umma..

na kwahivyo,
jitihada za makusudi, dhamira ya dhati na nia yake njema ni kutibu kabisa majeraha yote ya kisiasa, kuliunganisha taifa na waTanzania wote, na zaidi sana kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu...

katika kipindi kifupi sana cha uongozi wake wa awamu ya sita na kwakupitia serikali sikivu ya CCM, mtukufu Rais, Dr.Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuwaleta waTanzania wote pamoja mathalani katika suala la maridhiano limechochea kwa kiasi kikubwa kidemokrasia nchini kuimarika sana, mikutano ya hadhara rukhsa, maandamano rukhsa, ukosowaji kwa serikali rukhsa, uhuru wa maoni, habari, haki na usawa wa habari na kuabudu, chaguzi huru, sawa na haki n.k

Lakini pia, uwazi na uwajibikaji serikalini ni mkubwa sana, kwamfano sheria za uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi vimefanyiwa marekebisho mukubwa sana muhimu kwa uwazi sana na kufanya mazingira bora zaidi na ya kuaminika kwa wananchi, kwamba chaguzi zetu hasa zinazokuja,
zinafanyika katika mazingira ya uwazi, usawa na uhuru ili kuondoa manung"uniko na sintifahamu na hujuma za wasiolitakia mema Taifa letu...

sasa katika hali hiyo,
anatokea kiongozi muandamizi tena mteule wa Rais eti ng"we ng"we ng"we kuhusu uchaguzi?
wateule wa aina hii ni sharti wabanduliwe kwenye nafasi zao maramoja bila maelezo wala ufafanuzi wa kina....

huko ni kumuhujumu Mwenyekiti wa CCM taifa na kuhujumu kwa makusudi dhamira njema na jitihada kubwa sana za Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuliunganisha Taifa na kufungua nchi na zaidi sana kuimarisha umoja, amani, utulivu na mshikamano wa waTanzania wote...

natoa Rai kwa watumishi wa umma k nchini , kutunza ndimi zao na kuheshimu mamlaka hasa za uteuzi..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kama kweli mko serious mbona hamuwachukulii hatua za kisheria?
 
Attachments

  • VID-20240902-WA0003.mp4
    1.2 MB
ufafanuzi wetu mfupi sana na mujarabu mno tunaoutoa sasa ni uelekeo na dhamira ya dhati ya serikali ya awamu ya sita na nia Njema sana ya Dr Samia Suluhu Hassan ya kuliponya Taifa, kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu🐒

mengine ni yale tu ambayo wachache wenu yamewajaa moyoni, na hii pia ni fursa kwenu kuyatoa ili mpate relief kidogo, ama niaje?🐒
Umasikini unasababishwa na akili za mtu mmoja mmoja, (mind set), na hao masikini kwasasa walio wengi wako mjini binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini akipata tatizo huamsha ubongo na kutatua matatizo wakati anafanya hivyo huya ng'amua mambo mengi, uwezo wa kutafsiri kumbukumbu alizo zihifadhi binadamu ndiyo akili zenyewe hitimisho matatizo yaliyopo kwenye jamii zetu ni uzembe wa jamii husika kuto buni mbinu zitakazo tatua matatizo yao wenyewe hata wakijua kwamba waliopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi, (unyumbu), unyumba ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao
 
Kama kweli mko serious mbona hamuwachukulii hatua za kisheria?
kwakweli hiyo nia ipo,
ispokua baada ya kujiridhisha vyema kwamba wahusika hawana athari zozote hata kisiasa na hata kijamii,

mamlaka na taasisi za umma zimeona ni bora zaidi kuendelea na jitihada za kuwatumikia wananchi kuliko kubababika na hawa wahujumu jitihada za Dr Samia Suluhu Hassan katikati kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu...

na huo ndio wajibu muhimu wa maana na mkubwa zaidi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒
 
Umasikini unasababishwa na akili za mtu mmoja mmoja, (mind set), na hao masikini kwasasa walio wengi wako mjini binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini akipata tatizo huamsha ubongo na kutatua matatizo wakati anafanya hivyo huya ng'amua mambo mengi, uwezo wa kutafsiri kumbukumbu alizo zihifadhi binadamu ndiyo akili zenyewe hitimisho matatizo yaliyopo kwenye jamii zetu ni uzembe wa jamii husika kuto buni mbinu zitakazo tatua matatizo yao wenyewe hata wakijua kwamba waliopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi, (unyumbu), unyumba ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao
actually,
umeeleza hulka ya binadamu vizuri sana na kwa kina, hiyo ndiyo asili yake na inabadlika kulingana na mazingira lakini pia nyakati...

lakini katika suala la uongozi, tena wa kisiasa ni tofauti kidogo. msingi wake ni utii na heshima kwa mamlaka. kinyume na hapo ni muhujumu na utawajibishwa tu...

suala la uoga na utii,
hutofatiana kulingana na malezi ya mtu na mtu, na saa zingine utii ni bora kuliko sadaka na majitoleo yako yote kimwili na kiroho...

hujawahi ona binti mrembo na haoelewi na akiolewa baada ya wiki mbili ameachwa...
ni kwasabb hana uti japo ni mrembo kweli..

Utii ni Muhimu mno katika kufanya kazi pamoja na kua na uelekeo moja, tofauti na hapo haiwezekani kua pamoja 🐒
 
Watu wanatekwa Soka na wenzake hawajulikani walipo.
arusha kuna kikosi cha ccm kinaitwa chinja chinja na kiongozi wake anafahamika
Kagera uvccm wanawatowesha wakosoaji na hakuna hatua wanachukuliwa
Serikali ya ccm inachezea moto na kuna siku utaiunguza vibaya muda ni msema ukweli mzuri.
hayo ni masuala ya kiuchunguzi,
vyombo imara vya ulinzi na usalama nchini vinaendelea na kazi zao vyema kwenye eneo hilo na kwahivyo yafaa sote kama Taifa tukawa watulivu, wastahimilivu na wenye subra, ili kuwapatia vyombo vya uchunguzi nafasi na fursa nzuri na muafaka kufanya kazi yao kwa uhuru na uhakika....

hakuna haja ya kutaka kutatiza kazi inayoendelea kwa hisia na huruma ambazo hazina maana yoyote....

na kwa Taarifa yako sasa,
hakuna dalili za moto na hakuna moto wowote utakao waka ndani ya chama na serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan....

ni Muhimu kujitenga na imani potofu za kishirikina gentleman 🐒
 
actually,
umeeleza hulka ya binadamu vizuri sana na kwa kina, hiyo ndiyo asili yake na inabadlika kulingana na mazingira lakini pia nyakati...

lakini katika suala la uongozi, tena wa kisiasa ni tofauti kidogo. msingi wake ni utii na heshima kwa mamlaka. kinyume na hapo ni muhujumu na utawajibishwa tu...

suala la uoga na utii,
hutofatiana kulingana na malezi ya mtu na mtu, na saa zingine utii ni bora kuliko sadaka na majitoleo yako yote kimwili na kiroho...

hujawahi ona binti mrembo na haoelewi na akiolewa baada ya wiki mbili ameachwa...
ni kwasabb hana uti japo ni mrembo kweli..

Utii ni Muhimu mno katika kufanya kazi pamoja na kua na uelekeo moja, tofauti na hapo haiwezekani kua pamoja 🐒
Uoga ni tofauti na utii, ,respect vs fear 😨
 
Kupitia falsafa ya 4Rs,

Rais wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za Umma.

Na kwahivyo,jitihada za makusudi, dhamira ya dhati na nia yake njema ni kutibu kabisa majeraha yote ya kisiasa, kuliunganisha taifa na waTanzania wote, na zaidi sana kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu.

Katika kipindi kifupi sana cha uongozi wake wa awamu ya sita na kwakupitia serikali sikivu ya CCM, Rais, Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuwaleta waTanzania wote pamoja mathalani katika suala la maridhiano limechochea kwa kiasi kikubwa kidemokrasia nchini kuimarika sana, mikutano ya hadhara rukhsa, maandamano rukhsa, ukosowaji kwa Serikali rukhsa, uhuru wa maoni, habari, haki na usawa wa habari na kuabudu, chaguzi huru, sawa na haki n.k

Lakini pia, uwazi na uwajibikaji serikalini ni mkubwa sana, kwamfano sheria za uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi vimefanyiwa marekebisho mukubwa sana muhimu kwa uwazi sana na kufanya mazingira bora zaidi na ya kuaminika kwa wananchi, kwamba chaguzi zetu hasa zinazokuja.

zinafanyika katika mazingira ya uwazi, usawa na uhuru ili kuondoa manung"uniko na sintifahamu na hujuma za wasiolitakia mema Taifa letu.

sasa katika hali hiyo, anatokea kiongozi muandamizi tena mteule wa Rais eti ng"we ng"we ng"we kuhusu uchaguzi? wateule wa aina hii ni sharti wabanduliwe kwenye nafasi zao maramoja bila maelezo wala ufafanuzi wa kina.

Soma Pia: Kama taifa, zawadi pekee ya kumpa Rais Samia kwa kazi nzuri ya maendeleo ni ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu 2025 ikiwa atagombea

Huko ni kumuhujumu Mwenyekiti wa CCM taifa na kuhujumu kwa makusudi dhamira njema na jitihada kubwa sana za Rais Samia Suluhu Hassan kuliunganisha Taifa na kufungua nchi na zaidi sana kuimarisha umoja, amani, utulivu na mshikamano wa waTanzania wote.

Natoa rai kwa watumishi wa Umma kote nchini , kutunza ndimi zao na kuheshimu mamlaka hasa za uteuzi..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mr Tlaatlaah je kuna uhusiano wa Siku ya Mashindano ya kuhifadhi Kurani na kile alichokisema DC?

Vitabu Vitakatifu Havidhihakiwi.
 
Wezi wa kura kupita bila kupingwa mepatikana uzuri kila kitu kinajulikana,aibuuuuu
 
kama amesema Ukweli kuhusu awamu nyingine mathalani zilizopita hiyo ni juu yake,

lakini yeye kama muandamizi serikalini wa eneo husika hakutumwa hayo na dhamira ya dhati ya Dr Samia Suluhu Hassan siyo hiyo alikua akiizungumza yeye na hivyo kwa kifupi ni hujuma kwa Rais, katika jitihada za kuiponya nchi, kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu 🐒

na sasa amepewa ruhusa, wakati na muda mzuri zaidi akaseme huo Ukweli mnao sema anasema,
kwan kuna ubaya wowote ndrugu zango 🐒
kama amesema Ukweli kuhusu awamu nyingine mathalani zilizopita hiyo ni juu yake. chichiem ni ileile chama la wezi na mafisadi
 
Uoga ni tofauti na utii
nimeeleza bayana kwamba hutegemea malezi, mazingira na forces za maisha....

Msingi wa uobara wa maisha ya mtu binafs au hata kiongozi ni utii.
ukitii ratiba zako you woga, utafanikiwa,
ukimtii na kumuheshimu Mungu bila woga utafanikiwa....

watu wengi waoga sio watiifu na sio majasiri 🐒
 
Kupitia falsafa ya 4Rs,

Rais wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za Umma.

Na kwahivyo,jitihada za makusudi, dhamira ya dhati na nia yake njema ni kutibu kabisa majeraha yote ya kisiasa, kuliunganisha taifa na waTanzania wote, na zaidi sana kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu.

Katika kipindi kifupi sana cha uongozi wake wa awamu ya sita na kwakupitia serikali sikivu ya CCM, Rais, Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuwaleta waTanzania wote pamoja mathalani katika suala la maridhiano limechochea kwa kiasi kikubwa kidemokrasia nchini kuimarika sana, mikutano ya hadhara rukhsa, maandamano rukhsa, ukosowaji kwa Serikali rukhsa, uhuru wa maoni, habari, haki na usawa wa habari na kuabudu, chaguzi huru, sawa na haki n.k

Lakini pia, uwazi na uwajibikaji serikalini ni mkubwa sana, kwamfano sheria za uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi vimefanyiwa marekebisho mukubwa sana muhimu kwa uwazi sana na kufanya mazingira bora zaidi na ya kuaminika kwa wananchi, kwamba chaguzi zetu hasa zinazokuja.

zinafanyika katika mazingira ya uwazi, usawa na uhuru ili kuondoa manung"uniko na sintifahamu na hujuma za wasiolitakia mema Taifa letu.

sasa katika hali hiyo, anatokea kiongozi muandamizi tena mteule wa Rais eti ng"we ng"we ng"we kuhusu uchaguzi? wateule wa aina hii ni sharti wabanduliwe kwenye nafasi zao maramoja bila maelezo wala ufafanuzi wa kina.

Soma Pia: Kama taifa, zawadi pekee ya kumpa Rais Samia kwa kazi nzuri ya maendeleo ni ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu 2025 ikiwa atagombea

Huko ni kumuhujumu Mwenyekiti wa CCM taifa na kuhujumu kwa makusudi dhamira njema na jitihada kubwa sana za Rais Samia Suluhu Hassan kuliunganisha Taifa na kufungua nchi na zaidi sana kuimarisha umoja, amani, utulivu na mshikamano wa waTanzania wote.

Natoa rai kwa watumishi wa Umma kote nchini , kutunza ndimi zao na kuheshimu mamlaka hasa za uteuzi..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Wasome na waelewe
 
Vipi kuhusu wanaoteka na kuua raia huku wakipewa kinga na Mahakama?

Hao wanadumisha hizo 4R za anayewatuma?
 
nimeeleza bayana kwamba hutegemea malezi, mazingira na forces za maisha....

Msingi wa uobara wa maisha ya mtu binafs au hata kiongozi ni utii.
ukitii ratiba zako you woga, utafanikiwa,
ukimtii na kumuheshimu Mungu bila woga utafanikiwa....

watu wengi waoga sio watiifu na sio majasiri 🐒
Ni zao la unafiki cha msingi ni Nidhamu na siyo uoga
 
Back
Top Bottom