Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Huyu amegeza darubini. Kweli hii jinsia ina matatizo
 

Attachments

  • IMG-20240902-WA0014.jpg
    IMG-20240902-WA0014.jpg
    73.1 KB · Views: 1
unaelewa mambo ya kutokua na uhakika ni sawa na ushirikiana tu gentleman?

yaani wewe mpaka wakati huu bado unajiuliza tu akati waTanzania wote wameshaamua tayari kwamba lolote na liwe, iwe iwavyo, inyeshe liwake ni Dr Samia Suluhu Hassan tu wa CCM 2025🤣
Sanduku la kura ndilo litaamua nani awe Kiongozi na si wizi wa kura. Mungu hapendi wizi na wote wanaoiba watahukumiwa hapa Duniani na Mbinguni.
 
ufafanuzi wetu mfupi sana na mujarabu mno tunaoutoa sasa ni uelekeo na dhamira ya dhati ya serikali ya awamu ya sita na nia Njema sana ya Dr Samia Suluhu Hassan ya kuliponya Taifa, kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu🐒

mengine ni yale tu ambayo wachache wenu yamewajaa moyoni, na hii pia ni fursa kwenu kuyatoa ili mpate relief kidogo, ama niaje?🐒
Tatizo ni unyumbu, yaani unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao, human herding, human herding an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and fear 😨 of their leaders, a.k.a kujizima data
 
Vipi kuhusu wanaoteka na kuua raia huku wakipewa kinga na Mahakama?

Hao wanadumisha hizo 4R za anayewatuma?
masuala ya uhalifu wa aina mbalimbali sijui uporaji, uhujumu uchumi, utekaji, ubakaji n.k ni ya kiuchunguzi na hivi tunavyo fanya engagements katika platform hii vyombo vya kiuchunguzi vya ulinzi na usalama vinaendelea na kazi yao,

ile ya muhimu zaidi,
ni kua na wastahimilivu na wenye subra, kuepuka kuzua taharuki na kuchochea hisia na kuleta huruma ambazo hazina maana yoyote badala yake zinaweza kuathiri kazi ya Uchaguzi na upelelezi inayoendelea...

so,
ladies and gentlemen ni muhimu sana tukawa watulivu, na zaidi sana ikiwa kuna yeyote mwenye taarifa za uhakika kuhusu uhalifu wowote humu nchini, basi asisite kutoa taarifa kwa vyombo vya uchunguzi na hatua zichukuliwe kabla ya kuleta madhara mathalani uharibifu na pengine maafa....🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
unaelewa mambo ya kutokua na uhakika ni sawa na ushirikiana tu gentleman?

yaani wewe mpaka wakati huu bado unajiuliza tu akati waTanzania wote wameshaamua tayari kwamba lolote na liwe, iwe iwavyo, inyeshe liwake ni Dr Samia Suluhu Hassan tu wa CCM 2025🤣
Basi nyie kumbe mnalipwa na CCM ndio maana.
 
Basi nyie kumbe mnalipwa na CCM ndio maana.
sasa gentleman,
kwasabb ya kusema Ukweli ndio ulipwe, kweli?🐒

mambo haya ya kizalendo ni ya kujitolea, lakini zaidi sana wengine ni wabobevu, ni miongoni mwa kazi na majukumu ya kazi zetu za kisiasa na kitaaluma pia

so,
hakuna haja ya malipo ya aina yoyote.
Neema na Baraka za Mungu zatosha 🐒
 
Tatizo ni unyumbu, yaani unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao, human herding, human herding an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and fear 😨 of their leaders, a.k.a kujizima data
madaraka ya kulevya sio 🐒
 
Sanduku la kura ndilo litaamua nani awe Kiongozi na si wizi wa kura. Mungu hapendi wizi na wote wanaoiba watahukumiwa hapa Duniani na Mbinguni.
na hiyo ndiyo hasa dhamira na nia ya dhati ya mwenyekiti wa CCM taifa na Rais kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan...

ametumia falsafa ya 4Rs,
kujaribu kufuta dhana potofu kwamba kuna wizi wa kura unafanyikaga kwenye sanduku la kura,

amebadlisha sheria, amebadlisha tume huru ya uchaguzi ili kuweka uwanda sawa wa vyama vya siasa katika kufanya siasa,

lakini pia kuzidisha uwazi zaidi, uhuru zaidi na haki kuonekana vyema kwenye zoezi zima la kupiga kura, kuhesabu na kutangaza mshindi..

na uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu ujao vitakua ni vielelezo muhimu sana kuthibitisha nia na dhamira njema hiyo ya Dr Samia Suluhu Hassan, kurejesha imani za waTanzania wote katika kuamini taasisi za umma 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ukweli wake ume mponza. Kazi ime kwenda.
Ukiwa Ccm hutakiwi kusema kweli.
ni muhimu zaidi kuzingatia kazi ulotumwa kuifanya na nia na dhamira ya dhati ya alie kutuma kwa maslahi mapana ya waTanzania....

otherwise,
ikiwa alitumwa hayo aliyoyasema ambayo ni kinyume kabisa na kazi najitihada anazofanya alie mtuma,haya sasa aende akaseme huo Ukweli huko unakohitajika kwa nafasi na uhuru zaidi 🐒
 
Kupitia falsafa ya 4Rs,

Rais wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan ana lenga na anakusudia kuiponya Tanzania kwa majeraha mbalimbali ya kisiasa, kijamii, kiuchumi, kitaifa na kimataifa, na kujenga hali na mazingira ya kuaminiana na kurejesha imana za wanachi zilizotoweka katika kuamini taasisi za Umma.

Na kwahivyo,jitihada za makusudi, dhamira ya dhati na nia yake njema ni kutibu kabisa majeraha yote ya kisiasa, kuliunganisha taifa na waTanzania wote, na zaidi sana kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu.

Katika kipindi kifupi sana cha uongozi wake wa awamu ya sita na kwakupitia serikali sikivu ya CCM, Rais, Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno kuwaleta waTanzania wote pamoja mathalani katika suala la maridhiano limechochea kwa kiasi kikubwa kidemokrasia nchini kuimarika sana, mikutano ya hadhara rukhsa, maandamano rukhsa, ukosowaji kwa Serikali rukhsa, uhuru wa maoni, habari, haki na usawa wa habari na kuabudu, chaguzi huru, sawa na haki n.k

Lakini pia, uwazi na uwajibikaji serikalini ni mkubwa sana, kwamfano sheria za uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi vimefanyiwa marekebisho mukubwa sana muhimu kwa uwazi sana na kufanya mazingira bora zaidi na ya kuaminika kwa wananchi, kwamba chaguzi zetu hasa zinazokuja.

zinafanyika katika mazingira ya uwazi, usawa na uhuru ili kuondoa manung"uniko na sintifahamu na hujuma za wasiolitakia mema Taifa letu.

sasa katika hali hiyo, anatokea kiongozi muandamizi tena mteule wa Rais eti ng"we ng"we ng"we kuhusu uchaguzi? wateule wa aina hii ni sharti wabanduliwe kwenye nafasi zao maramoja bila maelezo wala ufafanuzi wa kina.

Soma Pia: Kama taifa, zawadi pekee ya kumpa Rais Samia kwa kazi nzuri ya maendeleo ni ushindi wa kishindo uchaguzi mkuu 2025 ikiwa atagombea

Huko ni kumuhujumu Mwenyekiti wa CCM taifa na kuhujumu kwa makusudi dhamira njema na jitihada kubwa sana za Rais Samia Suluhu Hassan kuliunganisha Taifa na kufungua nchi na zaidi sana kuimarisha umoja, amani, utulivu na mshikamano wa waTanzania wote.

Natoa rai kwa watumishi wa Umma kote nchini , kutunza ndimi zao na kuheshimu mamlaka hasa za uteuzi..🐒

Mungu Ibariki Tanzania
SO ni marufuku kusema ukweli??
 
Taifa limefikia hapa tulipo kwasababu ya tunao wapa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
nadhani kama Taifa,
tupo pazuri, tunakwenda vizuri na uelekeo mwema ni wa uhakika sana, hasa chini ya kiongozi wetu makini na shupavu sana mtukufu Rais Dr Samia Suluhu Hassan...

wale ambao dhamira na nia zao ni tofauti na za mwenyekiti wa CCM taifa Dr Samia Suluhu Hassan, basi taasisi za uteuzi hazita sita hata sekunde moja kumbandua kwenye nafasi yake pale alipo, bila kujali mbambamba ya mtu yoyote 🐒
 
SO ni marufuku kusema ukweli??
ndio maana amepewa nafasi ya kwenda kuudadavua Ukweli huo vizuri zaidi tena kwa nafasi na uwanda mpana sana, huku kazi ya kutibu na kuponya madonda hayo ya Ukweli aliyokua akiyatonesha huyo muungwana ikiendelezwa na wazalendo wengine wenye nia ya kuliponya Taifa....

Kwan kuna ubaya wowote ndrugu zango 🐒
 
Back
Top Bottom