Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Watu wanatekwa Soka na wenzake hawajulikani walipo.
arusha kuna kikosi cha ccm kinaitwa chinja chinja na kiongozi wake anafahamika
Kagera uvccm wanawatowesha wakosoaji na hakuna hatua wanachukuliwa
Serikali ya ccm inachezea moto na kuna siku utaiunguza vibaya muda ni msema ukweli mzuri.
 
Kama kweli mko serious mbona hamuwachukulii hatua za kisheria?
 
 

Attachments

  • VID-20240902-WA0003.mp4
    1.2 MB
Umasikini unasababishwa na akili za mtu mmoja mmoja, (mind set), na hao masikini kwasasa walio wengi wako mjini binadamu ana akili sana binadamu huyo huyo ni mvivu wa kufikiri lakini akipata tatizo huamsha ubongo na kutatua matatizo wakati anafanya hivyo huya ng'amua mambo mengi, uwezo wa kutafsiri kumbukumbu alizo zihifadhi binadamu ndiyo akili zenyewe hitimisho matatizo yaliyopo kwenye jamii zetu ni uzembe wa jamii husika kuto buni mbinu zitakazo tatua matatizo yao wenyewe hata wakijua kwamba waliopewa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi, (unyumbu), unyumba ni tabia ya waliopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao
 
Kama kweli mko serious mbona hamuwachukulii hatua za kisheria?
kwakweli hiyo nia ipo,
ispokua baada ya kujiridhisha vyema kwamba wahusika hawana athari zozote hata kisiasa na hata kijamii,

mamlaka na taasisi za umma zimeona ni bora zaidi kuendelea na jitihada za kuwatumikia wananchi kuliko kubababika na hawa wahujumu jitihada za Dr Samia Suluhu Hassan katikati kuliunganisha taifa na kufungua nchi miongni mwa mataifa ya ulimwengu...

na huo ndio wajibu muhimu wa maana na mkubwa zaidi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote πŸ’
 
actually,
umeeleza hulka ya binadamu vizuri sana na kwa kina, hiyo ndiyo asili yake na inabadlika kulingana na mazingira lakini pia nyakati...

lakini katika suala la uongozi, tena wa kisiasa ni tofauti kidogo. msingi wake ni utii na heshima kwa mamlaka. kinyume na hapo ni muhujumu na utawajibishwa tu...

suala la uoga na utii,
hutofatiana kulingana na malezi ya mtu na mtu, na saa zingine utii ni bora kuliko sadaka na majitoleo yako yote kimwili na kiroho...

hujawahi ona binti mrembo na haoelewi na akiolewa baada ya wiki mbili ameachwa...
ni kwasabb hana uti japo ni mrembo kweli..

Utii ni Muhimu mno katika kufanya kazi pamoja na kua na uelekeo moja, tofauti na hapo haiwezekani kua pamoja πŸ’
 
hayo ni masuala ya kiuchunguzi,
vyombo imara vya ulinzi na usalama nchini vinaendelea na kazi zao vyema kwenye eneo hilo na kwahivyo yafaa sote kama Taifa tukawa watulivu, wastahimilivu na wenye subra, ili kuwapatia vyombo vya uchunguzi nafasi na fursa nzuri na muafaka kufanya kazi yao kwa uhuru na uhakika....

hakuna haja ya kutaka kutatiza kazi inayoendelea kwa hisia na huruma ambazo hazina maana yoyote....

na kwa Taarifa yako sasa,
hakuna dalili za moto na hakuna moto wowote utakao waka ndani ya chama na serikali sikivu ya CCM chini ya kiongozi na kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan....

ni Muhimu kujitenga na imani potofu za kishirikina gentleman πŸ’
 
Uoga ni tofauti na utii, ,respect vs fear 😨
 
Mr Tlaatlaah je kuna uhusiano wa Siku ya Mashindano ya kuhifadhi Kurani na kile alichokisema DC?

Vitabu Vitakatifu Havidhihakiwi.
 
Wezi wa kura kupita bila kupingwa mepatikana uzuri kila kitu kinajulikana,aibuuuuu
 
kama amesema Ukweli kuhusu awamu nyingine mathalani zilizopita hiyo ni juu yake. chichiem ni ileile chama la wezi na mafisadi
 
Uoga ni tofauti na utii
nimeeleza bayana kwamba hutegemea malezi, mazingira na forces za maisha....

Msingi wa uobara wa maisha ya mtu binafs au hata kiongozi ni utii.
ukitii ratiba zako you woga, utafanikiwa,
ukimtii na kumuheshimu Mungu bila woga utafanikiwa....

watu wengi waoga sio watiifu na sio majasiri πŸ’
 
Wasome na waelewe
 
Vipi kuhusu wanaoteka na kuua raia huku wakipewa kinga na Mahakama?

Hao wanadumisha hizo 4R za anayewatuma?
 
Ni zao la unafiki cha msingi ni Nidhamu na siyo uoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…