Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Huyu amegeza darubini. Kweli hii jinsia ina matatizo
 

Attachments

  • IMG-20240902-WA0014.jpg
    73.1 KB · Views: 1
Sanduku la kura ndilo litaamua nani awe Kiongozi na si wizi wa kura. Mungu hapendi wizi na wote wanaoiba watahukumiwa hapa Duniani na Mbinguni.
 
Tatizo ni unyumbu, yaani unyumbu ni tabia ya wanao pewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga kwa viongozi wao, human herding, human herding an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering, working towards group objectives and fear ๐Ÿ˜จ of their leaders, a.k.a kujizima data
 
Vipi kuhusu wanaoteka na kuua raia huku wakipewa kinga na Mahakama?

Hao wanadumisha hizo 4R za anayewatuma?
masuala ya uhalifu wa aina mbalimbali sijui uporaji, uhujumu uchumi, utekaji, ubakaji n.k ni ya kiuchunguzi na hivi tunavyo fanya engagements katika platform hii vyombo vya kiuchunguzi vya ulinzi na usalama vinaendelea na kazi yao,

ile ya muhimu zaidi,
ni kua na wastahimilivu na wenye subra, kuepuka kuzua taharuki na kuchochea hisia na kuleta huruma ambazo hazina maana yoyote badala yake zinaweza kuathiri kazi ya Uchaguzi na upelelezi inayoendelea...

so,
ladies and gentlemen ni muhimu sana tukawa watulivu, na zaidi sana ikiwa kuna yeyote mwenye taarifa za uhakika kuhusu uhalifu wowote humu nchini, basi asisite kutoa taarifa kwa vyombo vya uchunguzi na hatua zichukuliwe kabla ya kuleta madhara mathalani uharibifu na pengine maafa....๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Basi nyie kumbe mnalipwa na CCM ndio maana.
 
Basi nyie kumbe mnalipwa na CCM ndio maana.
sasa gentleman,
kwasabb ya kusema Ukweli ndio ulipwe, kweli?๐Ÿ’

mambo haya ya kizalendo ni ya kujitolea, lakini zaidi sana wengine ni wabobevu, ni miongoni mwa kazi na majukumu ya kazi zetu za kisiasa na kitaaluma pia

so,
hakuna haja ya malipo ya aina yoyote.
Neema na Baraka za Mungu zatosha ๐Ÿ’
 
madaraka ya kulevya sio ๐Ÿ’
 
Sanduku la kura ndilo litaamua nani awe Kiongozi na si wizi wa kura. Mungu hapendi wizi na wote wanaoiba watahukumiwa hapa Duniani na Mbinguni.
na hiyo ndiyo hasa dhamira na nia ya dhati ya mwenyekiti wa CCM taifa na Rais kipenzi cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan...

ametumia falsafa ya 4Rs,
kujaribu kufuta dhana potofu kwamba kuna wizi wa kura unafanyikaga kwenye sanduku la kura,

amebadlisha sheria, amebadlisha tume huru ya uchaguzi ili kuweka uwanda sawa wa vyama vya siasa katika kufanya siasa,

lakini pia kuzidisha uwazi zaidi, uhuru zaidi na haki kuonekana vyema kwenye zoezi zima la kupiga kura, kuhesabu na kutangaza mshindi..

na uchaguzi wa serikali za mitaa, na uchaguzi mkuu ujao vitakua ni vielelezo muhimu sana kuthibitisha nia na dhamira njema hiyo ya Dr Samia Suluhu Hassan, kurejesha imani za waTanzania wote katika kuamini taasisi za umma ๐Ÿ’

Mungu Ibariki Tanzania
 
Ukweli wake ume mponza. Kazi ime kwenda.
Ukiwa Ccm hutakiwi kusema kweli.
ni muhimu zaidi kuzingatia kazi ulotumwa kuifanya na nia na dhamira ya dhati ya alie kutuma kwa maslahi mapana ya waTanzania....

otherwise,
ikiwa alitumwa hayo aliyoyasema ambayo ni kinyume kabisa na kazi najitihada anazofanya alie mtuma,haya sasa aende akaseme huo Ukweli huko unakohitajika kwa nafasi na uhuru zaidi ๐Ÿ’
 
SO ni marufuku kusema ukweli??
 
Taifa limefikia hapa tulipo kwasababu ya tunao wapa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
nadhani kama Taifa,
tupo pazuri, tunakwenda vizuri na uelekeo mwema ni wa uhakika sana, hasa chini ya kiongozi wetu makini na shupavu sana mtukufu Rais Dr Samia Suluhu Hassan...

wale ambao dhamira na nia zao ni tofauti na za mwenyekiti wa CCM taifa Dr Samia Suluhu Hassan, basi taasisi za uteuzi hazita sita hata sekunde moja kumbandua kwenye nafasi yake pale alipo, bila kujali mbambamba ya mtu yoyote ๐Ÿ’
 
SO ni marufuku kusema ukweli??
ndio maana amepewa nafasi ya kwenda kuudadavua Ukweli huo vizuri zaidi tena kwa nafasi na uwanda mpana sana, huku kazi ya kutibu na kuponya madonda hayo ya Ukweli aliyokua akiyatonesha huyo muungwana ikiendelezwa na wazalendo wengine wenye nia ya kuliponya Taifa....

Kwan kuna ubaya wowote ndrugu zango ๐Ÿ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ