Hatutavumilia wahujumu wa dhamira njema ya Rais katika kuliunganisha Taifa

Japo unalenga kuvuruga mjadala muhimu wa hoja mahususi mezani, lakini sio vibaya kujadili mambo haya muhimu pia japo sio muafaka....

gentleman,
binafsi ningependelea zaidi kujizuia kuzumzia jambo ambalo liko mikononi mwa vyombo vya kisheria vya kiuchunguzi na vya kiulinzi na kiusalama, kwasabb ya nafasi na wajibu mzito na muhimu sana nilio nao kwa umma na kwa maslahi mapana ya Taifa na waTanzania wote...

nakusihi sana pia kujiepusha, kua mstahimilivu na mwenye subra kuzungumzia jambo muhimu la kiuchunguzi kama hili...

nakushauri kushirikiana na vyombo husika ikiwa unazo taarifa za kutosha na za uhakika kuhusu uhalifu huo ili kurahisisha unchunguzi na wathirika wapate haki zao huku wahusika sheria zikifuata mkondo wake....

Aidha,
nikuhakikishie tu kwamba,
kamwe mambo ya ndani ya Tanzania, hayata ingiliwa na Taifa lolote la kigeni kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
hakuna jumuiya ya kikanda au hata umoja wa mataifa inaweza kuthubutu kuingilia mambo madogo madogo ya Tanzania πŸ’
 
hongera sana ikiwa hilo Jambo muhimu sana ni la kweli, nakutakia kila la kheri unapokamilisha kazi hiyo...

ninachokifanya mimi ni kubainisha ukweli kwa Neema na Baraka za Mungu, hasa katika awamu hii ya sita chini ya huyu kiongozi wetu muungwana wa kitaifa Dr.Samia Suluhu Hassan

suala la kusifia,
kibobevu ni dhana ya wanaojihusisha na ushirikina na kwahivyo sina ushirika nao kamwee..πŸ’
 
Wengi wao Washenzi Kwa kiwango kikubwa, wanatumia hovyo vyombo vya Dola na madaraka, raia wanaishi kwa hofu na uwoga, shame kabisa
uko sahihi,
wasio na uwezo na wenye dhamira binafsi watababuliwa na kujibandua wenyewe taratibu kama huyo muungwana aliekusudia kuturudisha nyuma alivyo fanywa..

tuungane pamoja na tue na lengo moja katika kuliunganisha Taifa πŸ’
 
hakuna upendeleo wala dable standard kwenye hilo jambo ambalo ndio kilio na kauli mbiu ya upinzani..

wakati wapinzani wakiangua kilio hicho waandamizi serikalini wakiongozwa na kiongozi wetu makini shupavu na kipenz cha waTanzania Dr Samia Suluhu Hassan,

wanafanya kila linalowezekana kuwafuta machozi walio umizwa na kujeruhiwa na jambo hilo, kisha gafla from no where anatokea msaidizi wa Rais ati ng"we ng"we ng"we sijui bao la mkono sijui porini kulifanyika nini, kheeeee, wewe??????

yaani Rais anafanya kazi usiku na mchana kuliunganisha taifa na kufungua nchi wewe unatonesha majeraha ya tunajaribu kuwaponya ebooow!!!!

so,
gentleman, kwenye jambo hili hakuna dablestandard kabisa, hebu tumuunge mkono rais wetu kipenzi kwenye kuliunganisha taifa Tafadhali πŸ’
 
Mbona wenzake wanaosemaga Siri za wazi na ukweli wa yaliyojificha chamani na serikalini wanatenguliwa?🀣🀣
Kwanini msije tu hadharani mkakiri maovu yenu ili wadanganyika waelewe umuhimu wa hizo 4RS?
wenzake? nani huyo,
hebu eleza vizuri kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau πŸ’
 
Mr Tlaatlaah je kuna uhusiano wa Siku ya Mashindano ya kuhifadhi Kurani na kile alichokisema DC?

Vitabu Vitakatifu Havidhihakiwi.
nadhani wakati mwingine naweza kulielezea hilo vizuri zaidi ila kwa sasa nadhani kuna jukumu muhimu zaidi mbele yetu πŸ’
 
Hatutavumilia watakaozuia tusimalizie kuwapa tanganyika waarabu wa oman. Tumeamua kuwapa hao mabasha kwa sababu tanganyika imejaa mashoga! Tutawateka na kuwaua wote ili tuuze tanganyika kwa waarabu turudi kwetu kizimkazi tuendelee kula matunda ya waarabu! Nawaonywa msituzuie.

1. Hata mkichagua chama kingine sisi ccm tutaunda serikali ya kuuza raslimali zote za tanganyika-- SSH 2019
2. Unajua kuna kupiga kura na kuhesabu kura na kutangaza mshindi. Tutatangaza mshindi tunayemtaka -- Nape 2024
3. Tumeanza kupita pori kwa pori kuhakikisha tunatangaza washindi tunaowataka- Mbughi DC kiteto 2024

Ahsanteni mazoba wa tanganyika
 
Don’t panic Gentleman,
This is for real 😳
🀣 many more to come , Right ?
no gentleman,
panicking and mayhem is for superstitious...

and of course it is a conclusions for those with no new alternative ideas and who have stacked saikolojikali πŸ’

to me,
the nonsense and useless panicking is strictly prohibited completely especially in healthier discussion like this πŸ’
 
relax gentleman πŸ’
 
Thats good Gentleman πŸ‘
Get prepared many more to come !
 
Bado huna logic, if sheria ni kwa wote, basi ikate kote regardless chama. Huyu ametoa hiyo kauli ( na si wa kwanza) , vyombo husika vimekaa kimya, so kauli yake haihatarishi usalama?
Je kauli hiyo angetoa mtu wa chama kingine angeachiwa kama huyu?

punguzeni ushkaji kwenye haki. Mnabebana mno
 
Hivi sabaya yupo wapi?
 
uko sahihi,
wasio na uwezo na wenye dhamira binafsi watababuliwa na kujibandua wenyewe taratibu kama huyo muungwana aliekusudia kuturudisha nyuma alivyo fanywa..

tuungane pamoja na tue na lengo moja katika kuliunganisha Taifa πŸ’
La watawala washenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…