Mungu hajawahi kuja kuishi Duniani akiwa na mama yake, dada zake. wajomba zake na majirani zakeUnadhani Mungu hawezi kujivika mwili nakuja kuishi na wanadamu ili awakomboe ?
Yesu ni nani ?Mungu hajawahi kuja kuishi Duniani akiwa na mama yake, dada zake. wajomba zake na majirani zake
Hata Yesu anathibisha hilo
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Hivi nyinyi wagalatia mnaposoma bibilia haya maandiko huwa hamyaoni au ndio DOGUMA ya Wazungu imewaingia
Mbona wewe unatukuza Man U, Liverpool, Bayern Munchen, Barcelona, AC Milan, PSG na kusahau Ihefu, Mtibwa au Singida bigstar + Mlandege? Tuondolee uchizi wako hapa.Acheni kutukuza dini zisizowahudu, Uilam ni imani ya waarabu, Ukristo imani ya wazungu. Sisi waafrica iman yetu ni ipi?
Kwahiyo kwasababu haujui Yesu ni nani ndio maana wazungu walipokuambia Yesu ndio Mungu wako ukakubali au sio?Yesu ni nani ?
Tuanzie hapo kwanza
Mbona unazunguka sana.Kwahiyo kwasababu haujui Yesu ni nani ndio maana wazungu walipokuambia Yesu ndio Mungu wako ukakubali au sio?
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Mbona hilo andiko liko wazi kuwa Yesu ni binadamu
Hapo yupo na marafiki zake
Anawaagiza waende wakawambie ndugu zake Yani Dada zake na mama yake
Kuwa yeye anaenda Kwa Mungu wa binadamu wote
Hapo alipo Yesu na walipo hao ndugu zake hata KM 500 hazifiki lakini bado hana uwezo wa kuwasiliana nao Hadi anawaagiza watu wampelekee salamu zake Sasa Mungu gani huyo
In reality Yesu sio Mungu ila Kwa DOGUMA za kanisa ndio mnadanganywa kuwa Yesu ni Mungu
Unajua kwanini wayahudi waliukataa ukristo Kwa sababu wakati wazungu wanaanzisha ukristo miaka 15 Baada ya Yesu kupaa
Ndugu zake Yesu walikuwa bado wapo
Rafiki zake Yesu aliyocheza nao utotoni walikuwa bado wapo
Majirani zake Yesu walikuwa bado wapo
Mafundi seremala wenzake walikuwa bado wapo
Wateja waliokuwa wananunua fenicha zake walikuwa bado wapo
Kwahiyo waliposikia hayo mahubiri kuwa Yesu ni Mungu wakawashangaa sana
Si nimekuambia Yesu ni binadamuMbona unazunguka sana.
Yesu ni nani?
TUANZIE HAPO
Acha kujipendekeza wewe mmbutu wayahudi wanakuona nyani tuWanatushawishi mara oooh wayahudi hawawapendi wakrsto wachukieni.
Ukiuliza tuwachukie kwa lipi utasikia allah kasema*sasa wakrsto na allah wapi na wapi"
Mara oooh walimuua issa mwarabu wa kwenye hadith za qur'an wachukieni. Sasa wakrsto na issa mwarabu wapi na wapi?
Sisi hatumtambui issa mwarabu bali yesu myahudi mwana wa mungu yehova myahudi
Mara ooooh mungu wetu wa kiarabu amewalaani wachukieni. Sasa wakrsto na allah wapi na wapi
Sasa kama mungu wetu yehova na mwanae yesu wamewabariki wayahudi na tumeamriwa tuwabaliki mnatulazimisha tuwachukie.
Mungu wetu mwenyewe ni myahudi. Tutachukiaje wayahudi?
Ugomvi wa waarabu na waislamu dhidi ya wayahudi sisi hautuhusu na mungu wetu yehova kasema wayahudi ni taifa teule.
Pambaneni na hali zenu...!!!!
Nb: since 1800,s mnatulazimisha wakrsto tuwachukie wayahudi ila mnapoteza mda sababu sisi tunamsikiliza yehova alichosema kwenye torati na biblia.
Najua inauma ila ukweli ndio huo chuki yenu na ubaguzi na husda na fitina haituhusu*
UJUMBE UMESHAFIKA SISI TUNAOMUABUDU MUNGU WA ISRAEL YEHOVA SIO WANAFIKI NA HATUNA HUSDAAcha kujipendekeza wewe mmbutu wayahudi wanakuona nyani tuView attachment 2871445
Hayo maoni yako....sisi YESU MASIHI NI MUNGU ALIYE HAI MPENDE MSIPENDE IWAUME ISIWAUMESi nimekuambia Yesu ni binadamu
WEWE UNATAKA KUMJUA ILI IWEJE....PAMBANA NA HALI YAKO NA MUNGU WAKO WA KIARABUMbona unazunguka sana.
Yesu ni nani?
TUANZIE HAPO
WEWE NDIO HAUMJUI YESU MWANA WA MUNGU YEHOVA......TUNAYEMUABUDU WAKRSTO..Kwahiyo kwasababu haujui Yesu ni nani ndio maana wazungu walipokuambia Yesu ndio Mungu wako ukakubali au sio?
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Mbona hilo andiko liko wazi kuwa Yesu ni binadamu
Hapo yupo na marafiki zake
Anawaagiza waende wakawambie ndugu zake Yani Dada zake na mama yake
Kuwa yeye anaenda Kwa Mungu wa binadamu wote
Hapo alipo Yesu na walipo hao ndugu zake hata KM 500 hazifiki lakini bado hana uwezo wa kuwasiliana nao Hadi anawaagiza watu wampelekee salamu zake Sasa Mungu gani huyo
In reality Yesu sio Mungu ila Kwa DOGUMA za kanisa ndio mnadanganywa kuwa Yesu ni Mungu
Unajua kwanini wayahudi waliukataa ukristo Kwa sababu wakati wazungu wanaanzisha ukristo miaka 15 Baada ya Yesu kupaa
Ndugu zake Yesu walikuwa bado wapo
Rafiki zake Yesu aliyocheza nao utotoni walikuwa bado wapo
Majirani zake Yesu walikuwa bado wapo
Mafundi seremala wenzake walikuwa bado wapo
Wateja waliokuwa wananunua fenicha zake walikuwa bado wapo
Kwahiyo waliposikia hayo mahubiri kuwa Yesu ni Mungu wakawashangaa sana
MNAUMIA SISI KUMUABUDU YESUMungu hajawahi kuja kuishi Duniani akiwa na mama yake, dada zake. wajomba zake na majirani zake
Hata Yesu anathibisha hilo
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
Hivi nyinyi wagalatia mnaposoma bibilia haya maandiko huwa hamyaoni au ndio DOGUMA ya Wazungu imewaingia
Wewe huwezi kumjua YESU PAMBANA NA HALI YAKO NA MUNGU WAKO WA KIARABU ALIYEFELI KUWAMALIZA WAYAHUDIYesu ni nani ?
Tuanzie hapo kwanza
Unapoteza mda kubishana na watu wanaomuabudu LUCIFAUnadhani Mungu hawezi kujivika mwili nakuja kuishi na wanadamu ili awakomboe ?
Hakuna anayeumia Kwa wewe kumuabudu binadamu mwenzako ila tunawaonea huruma jinsi wazungu walivyokupotezeniMNAUMIA SISI KUMUABUDU YESU
BORA SISI TUMEPOTEZWA NA WAZUNGU...NYINYI MMEPOTEZWA NA WAARABU WANYONGE WA WAYAHUDI.....!!!Hakuna anayeumia Kwa wewe kumuabudu binadamu mwenzako ila tunawaonea huruma jinsi wazungu walivyokupotezeni
By the way sisi waislam pamoja na Yesu Mungu wetu ni mmoja na tunamuabudu Kwa kumsujudia
Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Ni kweli Yesu wa ndani ya Quran sio Yesu mnayemuabudu kanisaniBORA SISI TUMEPOTEZWA NA WAZUNGU...NYINYI MMEPOTEZWA NA WAARABU WANYONGE WA WAYAHUDI.....!!!
****HUYO YESU WENU MWARABU SIO YESU WETU MWANA WA MUNGU WETU WA KIYAHUDI YEHOVA...!!!NA HUYO MUNGU WENU WA KIARABU ALLAH SISI HATUHUSU
TANGU LINI WAARABU WAKAWA NA AKILI KUWAZIDI WAYAHUDI NA WAZUNGU.
NB: KUSUJUDIA HATA SISI WAKRSTO ,WAHINDU,WABUDHA,WAYAZIDI NA WACHAWI SOTE TUNASUJUDIA SASA AJABU IPI???
MKUU HUYO YESU WENU SISI HATUHUSU.....UJUMBE UMEFIKANi kweli Yesu wa ndani ya Quran sio Yesu mnayemuabudu kanisani
Yesu wa ndani ya Quran ni binadamu aliyezaliwa na Mariam pia ni mtume aliyetumwa na Mungu Kwa Wana waisrael na aliwambia Wana waisrael kuwa Mungu ni mmoja tu
1) Yesu wa ndani ya Quran
Quran 5:72 -
Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.
JE! WAPI YESU ALISEMA KUWA MUNGU NI MMOJA
Yohana 17:3
Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.
And this is life eternal, that they might know thee the only true God, and Jesus Christ, whom thou hast sent.
Yohana 20:17
Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.
2) Yesu anayeabudiwa Kanisani hakuwahi kuwepo hapa Duniani ila ni galasa lililotengenezwa na Wazungu
Tito 2:13
tukilitazamia tumaini lenye baraka na mafunuo ya utukufu wa Kristo Yesu, Mungu mkuu na Mwokozi wetu;
Ni Kwa sababu nyinyi hamfuati maandiko ila mnafuata uongo wa wazungu na DOGUMA za kanisaMKUU HUYO YESU WENU SISI HATUHUSU.....UJUMBE UMEFIKA
Walikuja wangapi mpaka ukaamua kuchagua mungu wawayahudi?YEAH MM NIMECHAGUA MUNGU WA KIYAHUDI YEHOVA MKUU