Haudaiwi chochote na girlfriend wako

Lakini hiyo hela mnayosemaga tutafute n ku priotize raha yake utumie na mubebi
 
Wanawake wamekufanya nini mkuu?...
 
Umewahifadhi moyoni bro, forgive forget....maisha yaendelee
Ni mawazo yako tu mimi naongelea mambo yaliyopo kwenye jamii.. nina marafiki, jamaa na ndugu wa kiume naona mambo yanavyoenda hakuna ubaya wowote nikiwasanua ninapoona kuna gap. Ofcouse sio rahisi kunielewa kama wewe sio mwanaume.

NI sawa tu na nyie mnavyofundishana kwamba kigezo cha kuangalia kutoka kwa mwanaume ni pesa, ni kwa sababu mmegundua upendo wa kweli haulipi bill.

Kama nyie mmeweka standard zenu ambazo mnaona zinanufaisha kivipi na sisi tukiweka favourable standards zetu mnafikiri tuna chuki? mnataka nyie muwe na standard halafu sisi tuchague tu wanawake blindly.?
 
🀝🀝🀝 uko wapi lakini.....
Kama vile nakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…