Have You Ever.......


If you can put on my shoes mkuu!
 


Hili neno zito sana Kizzy!!!!!
 

Nimekuelewa dawa ya malaria. Naomba ufahamu kwamba hata siku moja mpenzi hawezi kuchukua nafasi ya Mungu ktk maisha yangu, Mungu kwanza halafu mambo mengine yanafata. Hivyo basi kama mapenzi yapo will make the full of it na yakiondoka will deal na matokeo bt kamwe haiwezi kuwa bora nife kuliko kuishi. Naishi coz Mungu ameruhusu na si vinginevyo haya mengine ni bonus tu.
 

...........................A Thin Line Between Love And Hate.................................................................
 
If you can put on my shoes mkuu!

Pole dia. Na haya ndio tunasema hapa kama huwezi kupenda inavyostahili ni bora ukaacha kuliko kuongeza idadi ya broken hearts. Bt kwa upande wako Mungu kakulipia with time uko sawa na maisha yanaendelea.
 


Aiseee...
 
Mj1 hapa ni kukubali matokeo na kuendelea mbele na maisha ,maana hata ufanye nini usiku hauwezi kuwa mchana ,ni kushukuru na kufungua page mpya katika maisha,
Mungu amepanga maisha ya kila mmoja wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…