Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Unafundisha kupenda wakati we hujajifunza???Baba mchungaji embu penda acha kujinyima raha duniani hapa!
Mapenzi ni shubiri! Hebu angalia watu wanavyojiuwa kila siku sababu ya mapenzi, watu wanapelekena mahakamani, watu wanadundana na kupeana vilema sababu ya mapenzi.......I wanna love myself and treat fairly the consciousness