Haya ndio matatizo ya watanzania!
Sasa ulitaka watu wote wamsifie huyo dai?
Wapambane na hali zao tuuuMtatunga sana story mwaka huu.
Sedyuzika tu maana no way out.
Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?Kama nawaona wanavyokereka, ila ndio hivyo tena hamna jinsi. Wawaache watu waupende tu maana ingekuwa kasifiwa domo walaaa yasingewatoka hayo ya kuwatoka. Wasedyuzike tu.
Wewe ukiwa wa kwanza!
Hao wanaume wa mikoani wanasifia dai akikata mauno au kuchezeana na hawara yakeAngepost mondi hiyo miuno ungefurahiii!
Mnune tu at yo own risk.
#seduceme#
Wivu wa nini? Kata mauno,jirekodi nawe upostiwe!Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Nani amekulazimisha?Haya ndo matatizo ya watanzania!
Sasa unalazimisha na mie nimsifie huyo alikiba?
Munajitetea kwa mtindo huo,mupate huruma ya mashabiki,hahahahahaShida inakuja diamond ana maadui wengi sn na watu hawapendi vile mtoto wa mbwa kutoka tandale anavyoishi kifalme...inawauma yale majivuno yake lkn wamesahau mtoto wa watu alivyokuwa maskini alidharaulika...jamaA anaanza mziki mara anajua kuimba ila sura mbaya...mara hajui kingereza saivi wanasema mziki wake ujanja ujanja...yule ni simba mzee kakwepa mikuki mingi sn..hawataweza na hizo promo na kick wabazompa kiba ipo siku watanyoosha mikono juu nKusema simba ni nyoko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sasa huko tandale unategemea utasikia nyimbo ya seduce me? Mcheza kwao hutunzwa.
Yaani nimekumbuka enzi zileeeeeeeee![emoji1] [emoji1] [emoji1] sana my dear unanikumbusha mbaali sana mpenzi wanguuu..!!!
Yaani always wao wanataka apande mmoja tu!
Hawajui kua Mungu ana wakati wakee
Wako hooooiii!
Hawajui power of people!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sana tuuu!!!Yaani nimekumbuka enzi zileeeeeeeee!
Kama namuona Numbisa alivyovimbisha vishavu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wamuwache tu Kiba wetu jamani, seduce me ndio habari ya mujini.
Hivi na siku ile diamond alivyopewa mualiko na kina bebikabae asubuhi,na rais mpendwa akapiga simu na kuzungumza nao,hakukuwa na mambo mengi ya kuzungumzia yanayogusa maslahi ya nchi?Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa dadaMi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatuhusu kama mojawapo ya hayo yanayohusu nchi, Kiba ni mwanamuziki wa Kitanzania, analipa kodi kupitia kazi zake, anaitangaza nchi kupitia kazi zake.Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha! Yani jamaa kawa kama hajielewi.kachanganyikiwa na Seduce me inavyokamata mtaani[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu mchezo hauhitaji hasiraa
Seduce meeee!!!haijawahi kumuacha mtu salama
Si ndio hapo sasa! Hawaamini majicho yao kwa kilichotokea kwakweli.Hao wanaume wa mikoani wanasifia dai akikata mauno au kuchezeana na hawara yake
Limewashukaaaa kweli
Kwani wamekataa kumsifu na kazi zake?Tena clouds kipindi cha nyuma walimuita mond kwenye interview na wakamsifu kwa kazi zake Leo hii wanajifanya kwamba wameuelewa Sana wimbo wa kiba fakeni kabisa clouds
Sent using Jamii Forums mobile app