Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Exactly ma babe, yaan upo mawazoni mwangu nilitaka kusema ivo. Binafsi kipindi nilikiangalia huyu mleta mada katia chumvi tu ila Kiba ana haki kama ilivi kwa saida karoli , Mondi, Shishi kiuno (kahojiwa majuzi tu hapa) sasa kwa nn shida iwe kwa Kiba au sababu ya 2M views ndani ya siku 2?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnatapatapa sana,mnatia aibu aisee sio mbaya coz mlisema wenyewe tweet waachiwe mashabiki,jitahidini kutweet tu
 
Mie timu man u ila nasema ukweli kiba kabebwa na bifu na mange pia. Pitia comments humu au threads za kiba uone wanavyomsifia mange kuupaisha wimbo wa kiba
Kwani mange si ni timu kiba toka zamanii,,,we dai alivyoona mwenzie kayoa nyimbo kwanini asikae kimya mpaka nae atoe kakutana na za uso na hakutegemwa ahahha
Hata bila mange mziki ni mzurii,,na alivyosapot ni vyema zaidi maana daimond ana dharau
 
Mange ni team dai ,ccm tangu mwanzo. Kaenda kwa kiba baada ya wema kumuacha dai kisha kutaka kurudi na kukuta zari kaweka makazi ya kudumu. Ccm ilipomtosa kumpa vyeo alivyotaka akajipeleka ukawa

Mbona aslay katoa wimbo hamlalamiki katoa wakat kiba katoa y dai?sababu dai ndo kiboko yenu,hamumuwezi hata kidogo kashfa zote mmemtupia ila hamjamshusha
Kwani mange si ni timu kiba toka zamanii,,,we dai alivyoona mwenzie kayoa nyimbo kwanini asikae kimya mpaka nae atoe kakutana na za uso na hakutegemwa ahahha
Hata bila mange mziki ni mzurii,,na alivyosapot ni vyema zaidi maana daimond ana dharau
 
Kwani nilikwambia uuone mbaya au nimesema kwa upande wangu

Sinaga mambo ya ushabiki ila nasikilizaga nyimbo yoyote nzuri, timu ni ujinga kwa upande wangu, sinaga hiyo small mind

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho mbaya inamtafuna tu hakuna kingine, kusifia wimbo hakujaanzia kwa Kiba mbona!! Several times huwa wanasifia wimbo pale unapokuwa umewagusa.
Hapa tatizo ni hizo views 2M tu hakuna kingine, maana ingekuwa kipindi kizima kilisimama ili kuongelea huo wimbo maybe angeongea.

By the way miss you[emoji8]
 
Kwani nilikwambia uuone mbaya au nimesema kwa upande wangu

Sinaga mambo ya ushabiki ila nasikilizaga nyimbo yoyote nzuri, timu ni ujinga kwa upande wangu, sinaga hiyo small mind

Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu unitag.....team kiba wanatapTap sana kama wamekula ugali wa moto.....time will tell......na domo inabidi akae kimy maswala ya vijembe na uswahili usio na tija aache yaNi sijui kwa nn hajifunzi yaani ananikera apo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi uliza "why dai" if yo realy serious na upo TZ maybe kama umetokea Mars!!
The answer is veryyyyyyyyyy obvious Numbisa.
 
Must niulize dai hana makosa kwake muziki ni biashara. Kama kiba anajiamini basi atoe au asitoe haina haja ya kulalamika kisa dai katoa wimbo.
Hahaha huko mars nimependa tuombeane bana nikaishi huko

Kuna haka kabinti kanaitwa Lulu elizabeth kalisema kwamba kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya ule uzuri wake hata hauonekani

Unadhani ni bahati mbaya kwamba wcb walitoa zilipendwa yao just hrs baada ya Kiba kuwaseduce?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…