Acha wivu mkuu wewe unaumia kwa lipi sasaNilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order
Even a black folk hate to see another nigga made it..
Huo ni mtazamo wako tu,kwani kusifiwa Kiba wewe inakuuma nn?Shida inakuja diamond ana maadui wengi sn na watu hawapendi vile mtoto wa mbwa kutoka tandale anavyoishi kifalme...inawauma yale majivuno yake lkn wamesahau mtoto wa watu alivyokuwa maskini alidharaulika...jamaA anaanza mziki mara anajua kuimba ila sura mbaya...mara hajui kingereza saivi wanasema mziki wake ujanja ujanja...yule ni simba mzee kakwepa mikuki mingi sn..hawataweza na hizo promo na kick wabazompa kiba ipo siku watanyoosha mikono juu nKusema simba ni nyoko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo kusifiwa Diamond ni sawa lkn kusifiwa Alikiba ni tatzo????seriouzly?Tena clouds kipindi cha nyuma walimuita mond kwenye interview na wakamsifu kwa kazi zake Leo hii wanajifanya kwamba wameuelewa Sana wimbo wa kiba fakeni kabisa clouds
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe haukuhusu ungeziba maskio ukasubiri vinavyokuhusu.Acheni kujifanya mnafatilia mambo ya msingi ambayo hayana kikomo maisha kuna burudani pia uschokipenda wengine wanakipenda.Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna haka kabinti kanaitwa Lulu elizabeth kalisema kwamba kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya ule uzuri wake hata hauonekani
Unadhani ni bahati mbaya kwamba wcb walitoa zilipendwa yao just hrs baada ya Kiba kuwaseduce?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifikiri kila anayeisifia seduceme ni teamkiba tu na kutokuwa na team hakukuzuii kupenda mziki wa upande flnMi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Shangaa sasa watu wanajifanya kufatilia mambo ya msingi kisa tu wameshindwa kumshusha waliyemtaka ashindane kwa kazi kisa tweetsHivi na siku ile diamond alivyopewa mualiko na kina bebikabae asubuhi,na rais mpendwa akapiga simu na kuzungumza nao,hakukuwa na mambo mengi ya kuzungumzia yanayogusa maslahi ya nchi?
Pole mkuu siyo lazima uipende weweSauti ya ali kiba siipendiiiii...........NAMUONA KM MLAZIMISHAJI BADALA YA MUIMBAJI. Kujaribu kupambana na dai ni kujipoteza zaidi
Chi ndio hapo chacha!!!Harafu watu wameamua wenyewe kuupenda wimbo wa Alikiba sijajua kipi hasa kinakuuma na kama huupendi kwa nn uufatilie??
Sent using Jamii Forums mobile app
Watakupinga ila ukweli hata wao wanaojua.Kuna haka kabinti kanaitwa Lulu elizabeth kalisema kwamba kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya ule uzuri wake hata hauonekani
Unadhani ni bahati mbaya kwamba wcb walitoa zilipendwa yao just hrs baada ya Kiba kuwaseduce?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba amelalamika wapi?!!!! Nia yao ovu imebuma, na Kiba nae hana makosa kupendwa na watu na muziki wake mzuri. Kwahiyo msiumie roho.Must niulize dai hana makosa kwake muziki ni biashara. Kama kiba anajiamini basi atoe au asitoe haina haja ya kulalamika kisa dai katoa wimbo.
Hahaha huko mars nimependa tuombeane bana nikaishi huko
On the way baby.
Kwanza hata sasa hivi siusikii, we umeusikia wapi mpz? Clouds wanaseduce tu sasa hivi..what the hell!Kiba amelalamika wapi?!!!! Nia yao ovu imebuma, na Kiba nae hana makosa kupendwa na watu na muziki wake mzuri. Kwahiyo msiumie roho.
Ila wapenda kiki angalau hata huo wimbo mmeutoa kipindi hiki alipotoa Kiba hata ukapata kiki, maana ile mifululizo yoote ilibuma.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwanza hata sasa hivi siusikii, we umeusikia wapi mpz? Clouds wanaseduce tu sasa hivi..what the hell!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu wimbo hauchukui round utajifia una life span fupi sana....nitaurudi apa after one month.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu huwezi amini hata sijausikia wote, maana hata sisikii wala sioni ukipigwa!
Watu wanasedyuzika tu.
Kwakweli acha tu watu wanune.
Wimbo gani unaongelea mkuu?Huu wimbo hauchukui round utajifia una life span fupi sana....nitaurudi apa after one month.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiba amelalamika wapi?!!!! Nia yao ovu imebuma, na Kiba nae hana makosa kupendwa na watu na muziki wake mzuri. Kwahiyo msiumie roho.
Ila wapenda kiki angalau hata huo wimbo mmeutoa kipindi hiki alipotoa Kiba hata ukapata kiki, maana ile mifululizo yoote ilibuma.
Ona unavyowafatilia kwa mifululizo yao tena ukute unaisikiliza vizuri tu. Kumbe kiba hajalalamika ila mashabiki kimbelembele tochi kulalamika ee
Tulieni bana mwanamuziki kazi yake kufyatua good music kama dai sio kupangiwa atoe au asitoe muda atakao yeye