Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Hawa jamaa ni wanazi wa Ali Kiba?

Nilichojifunza mijitu inamsifia kibakuli ili tuu ipostiwe na mange insta... Chaajabu wanaume wa dar wanajirekodi huku wakikatika viuno then wanamrushia video mange ili awapost! Ujinga of the highest order

Even a black folk hate to see another nigga made it..
Acha wivu mkuu wewe unaumia kwa lipi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida inakuja diamond ana maadui wengi sn na watu hawapendi vile mtoto wa mbwa kutoka tandale anavyoishi kifalme...inawauma yale majivuno yake lkn wamesahau mtoto wa watu alivyokuwa maskini alidharaulika...jamaA anaanza mziki mara anajua kuimba ila sura mbaya...mara hajui kingereza saivi wanasema mziki wake ujanja ujanja...yule ni simba mzee kakwepa mikuki mingi sn..hawataweza na hizo promo na kick wabazompa kiba ipo siku watanyoosha mikono juu nKusema simba ni nyoko

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo wako tu,kwani kusifiwa Kiba wewe inakuuma nn?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angesifiwa yeyote Yule ningeshangaa tu maana Clouds ni media kubwa na wanamambi mengi ya kuzungumzia kwenye vitu vinavyogusa maslahi ya nchi ,wimbo kama huu unatuhusu nini sisi kama watanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe haukuhusu ungeziba maskio ukasubiri vinavyokuhusu.Acheni kujifanya mnafatilia mambo ya msingi ambayo hayana kikomo maisha kuna burudani pia uschokipenda wengine wanakipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona ubaya wowote na sitaona ubaya. Kuishi kwa kuogopa fulan kafanya hivi basi na mie nisifanye itaonekana mashindano ni utumwa mbaya sana.
Kuna haka kabinti kanaitwa Lulu elizabeth kalisema kwamba kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya ule uzuri wake hata hauonekani

Unadhani ni bahati mbaya kwamba wcb walitoa zilipendwa yao just hrs baada ya Kiba kuwaseduce?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sina Tim ila kuwa mwaminifu wimbo wa kiba Seduce me ni mbaya sio siri, sijui wenzangu huwa wana vigezo vipi kusema kuwa wimbo ni mzuri, wa Diamond Zilipendwa pia sijaupenda ila zikiletwa zote nichague mmoja nachagua wa Diamond maana una kauafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
Usifikiri kila anayeisifia seduceme ni teamkiba tu na kutokuwa na team hakukuzuii kupenda mziki wa upande fln

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi na siku ile diamond alivyopewa mualiko na kina bebikabae asubuhi,na rais mpendwa akapiga simu na kuzungumza nao,hakukuwa na mambo mengi ya kuzungumzia yanayogusa maslahi ya nchi?
Shangaa sasa watu wanajifanya kufatilia mambo ya msingi kisa tu wameshindwa kumshusha waliyemtaka ashindane kwa kazi kisa tweets

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna haka kabinti kanaitwa Lulu elizabeth kalisema kwamba kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya ule uzuri wake hata hauonekani

Unadhani ni bahati mbaya kwamba wcb walitoa zilipendwa yao just hrs baada ya Kiba kuwaseduce?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakupinga ila ukweli hata wao wanaojua.
 
Must niulize dai hana makosa kwake muziki ni biashara. Kama kiba anajiamini basi atoe au asitoe haina haja ya kulalamika kisa dai katoa wimbo.
Hahaha huko mars nimependa tuombeane bana nikaishi huko
Kiba amelalamika wapi?!!!! Nia yao ovu imebuma, na Kiba nae hana makosa kupendwa na watu na muziki wake mzuri. Kwahiyo msiumie roho.

Ila wapenda kiki angalau hata huo wimbo mmeutoa kipindi hiki alipotoa Kiba hata ukapata kiki, maana ile mifululizo yoote ilibuma.
 
Kwanza hata sasa hivi siusikii, we umeusikia wapi mpz? Clouds wanaseduce tu sasa hivi..what the hell!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza hata sasa hivi siusikii, we umeusikia wapi mpz? Clouds wanaseduce tu sasa hivi..what the hell!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu huwezi amini hata sijausikia wote, maana hata sisikii wala sioni ukipigwa!

Watu wanasedyuzika tu.
Kwakweli acha tu watu wanune.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alafu huwezi amini hata sijausikia wote, maana hata sisikii wala sioni ukipigwa!

Watu wanasedyuzika tu.
Kwakweli acha tu watu wanune.
Huu wimbo hauchukui round utajifia una life span fupi sana....nitaurudi apa after one month.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona unavyowafatilia kwa mifululizo yao tena ukute unaisikiliza vizuri tu. Kumbe kiba hajalalamika ila mashabiki kimbelembele tochi kulalamika ee
Tulieni bana mwanamuziki kazi yake kufyatua good music kama dai sio kupangiwa atoe au asitoe muda atakao yeye
Kiba amelalamika wapi?!!!! Nia yao ovu imebuma, na Kiba nae hana makosa kupendwa na watu na muziki wake mzuri. Kwahiyo msiumie roho.

Ila wapenda kiki angalau hata huo wimbo mmeutoa kipindi hiki alipotoa Kiba hata ukapata kiki, maana ile mifululizo yoote ilibuma.
 
Wimbo mzuri sana ni mega hit.Acheni roho zenu mbaya za korosho wakaanga sumu.Nyie ndo mnaompa bichwa Diamond kuwa anaonewa wivu au watu wanaushobokea Seduce me kwa kutaka kumkomoa.Kumbe wala sio hivyo ukweli ni kwamba Ali Kiba katoa wimbo mzuri na umehit kila mahali.Mbona Darasa wimbo wake wa muziki ulipoendwa na haukuhusishwa na Diamond au mwingine?Kwani huu ni wimbo wa Kiba wa kwanza?Mbona Aje ilitoka na haikuhit kama hii?
Msitake kupotosha watu,mwacheni Kiba it is his moment!hapo ndo tunaamini anafanyiwa roho mbaya na hujuma na baadhi ya watu.Acheni hizo roho za kwanini zitawaua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ona unavyowafatilia kwa mifululizo yao tena ukute unaisikiliza vizuri tu. Kumbe kiba hajalalamika ila mashabiki kimbelembele tochi kulalamika ee
Tulieni bana mwanamuziki kazi yake kufyatua good music kama dai sio kupangiwa atoe au asitoe muda atakao yeye

Si kama nyie tu hivyo mlivyo vimbele mbele tochi!!!

Sio suala la kufuatilia, maana unakutana tu na nyuzi zimefunguliwa kuhusu hiyo miziki na hauisikii ikipigwa unajua tu huu umebuma wala haina haja ya kufuatilia. Maana muziki mzuri ukiwasha redio tu unakutana nao, ukiwasha tv ndio usiseme mtaani ndio balaa sasa kama kote huko holaa unahitaji degree tena!!!

Ukweli ndani ya nafsi mnaujua, na narudia tena mshukuru sana kuutoa wakati huu angalau mmebustiwa.

Sedyuzika tu mama maana hamna namna.
 
Back
Top Bottom