Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

Wadada tu wanapambana na hali zao kwa kufanya shughuli halali kujipatia mkate wa kila siku kwenye maduka yao katikati ya viunga vya Daslam ila sababu wabongo mnapenda kuchafua watu mtaanza kuwachafua. Must be hard being beautiful.
 
Iv ndo huyu mzee?
 
Watu wanachangaya kitu, video iliyotrend mdada analiwa kote kote yule dada alikua wa Tanga, na aliliwa kwa hiari yake, walikua na group lao la telegram wanatengeneza video wanatuma huko...na walishikwa wakahojiwa sijui kesi iliishia wapi, ila kwa kua alikua haonekani sura vizuri watu wakawa wanadai ni huyo dada wa brown hair kwenye picha.... Nakumbuka huyo dada brown hair akienda mpaka polisi kukata rb akafungua kesi ya kuchafuliwa jina, ila hakua yeye kwenye ile video ya ngono...wale walikua actors tu kutoka Tanga huko
 
Warefu kwenda chini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana humu watu ndio saiv mmejiunga kwenye hii mitandao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28] bas poleli huyo mwenye bastola anaitwa mambise alipigwa mtungo alichukuaga mume wa mtu, hayo majamaa yalikuwa yameshiba haswa moja likiwa linajulikana kama mudi mnyama[emoji81]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…