Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

Wadada tu wanapambana na hali zao kwa kufanya shughuli halali kujipatia mkate wa kila siku kwenye maduka yao katikati ya viunga vya Daslam ila sababu wabongo mnapenda kuchafua watu mtaanza kuwachafua. Must be hard being beautiful.
Hako ka kushoto kalikuwa kanajiuza toka kapo ushirika alichukua kijiti toka kwa dada zake
 
Sahihi kabisa mkuu Kuna jamaa huko juu limemkazania dada wa watu sijui linataka kuwapiga wana jf pesa, SI unawajua wabongo kwa mambo ya kijinga.
 
Ile video alikua mdada wa Tanga analiwa na majamaa na mwingine kashika camera ila hakua huyu kwenye picha, afu wale walikua wanaigiza tu Wala hakuna Cha fumanizi na walishikwa wakahojiwa
Kumbe ilikuwa ni skendo ya uongo duuuh. Basi ilimuathiri vibaya
 
kutoka Tanga? tena tigo? Faizafoxy kujahapa.
 
Ndo kwanza nawaona.
 
Site ganii hio ambao hawa mabinti wapo ukiingia unawaona.....mm ndoo nawaona leo
 
Kweli hata mimi naikumbuka na ilisambaa sana kwenye magroup ya telegram na mjini twitter
 
Hako kenye sendo za manyoya nimekaacha kanamalizia Diploma 2 wakati namaliza third year. Kiukweli alikuwa ni kisu balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…