Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo.

Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia

Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna watu wanaenda kuumizwa na rafu zao barabarani.
 
Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo.

Kwenye foleni, barabara nyeupe, mlimani, tamarare, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu wanaendesha umeme gear 6

Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna watu wanaenda kuumizwa na rafu zao barabarani.
Wanajiskia sana.. utadhani wanaendesha crown
 
Ugoro + bangi + mirungi + smart gin na sigara juu kwa kichwa kimoja, then barabarani na sinoray mwendo wa ngiri mkia juu kifuani singland, spika za kichina muziki wa singeli sauti juu weeeeeeh!!

Utawaeleza nini gen Z wakusikilize wakakuelewa?? Hakuna namna, wacha watangulie tu
 
Mitaahira hiyo acha iteketee tu.
Eti kwa kuwa speed zake ni 200 na gia 6 yanataka kukimbizana road bila kujua hazina balance kama pikipiki kubwa zile BMW,Kawasaki,Yamaha nk

Eti yanajigariji utasikia umemeee,umeme utakua mchina,pumbaf kabisa
 
Ila mkuu, kwenye suala la umeme, mchina ni umeme sana, kama magari anatisha vile, pikipiki si ni kitu kidogo sana.
 
Waache vijana wajaribu 2 stroke inafanya kazi kweli

🤣🤣🤣🤣

2 stroke ni hatariiiiiii
 
Halafu kifo kilivyo cha ajabu unaweza ukafa wewe wakaja kuchimba kaburi lako wakakuzika

Anyway siungi mkono uendeshaji wao wa pikipiki
 
Back
Top Bottom