Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
Binti alipenda show kali mda wote anaaga kwao huko na kunifata mkoani mwishoni walivyogundua walitaka kuniua kwa vipigo na nusu wanitie ukilema polisi wetu nao waoga hamna msaada isingekuwa binti walikuwa waniueIlikuwaje mkuu? Ulitia mimba nini?
Duuh hatari! Pole sana mkuu,wabaguzi sana wale watuBinti alipenda show kali mda wote anaaga kwao huko na kunifata mkoani mwishoni walivyogundua walitaka kuniua kwa vipigo na nusu wanitie ukilema polisi wetu nao waoga hamna msaada isingekuwa binti walikuwa waniue
Duuh.....Yani wewe unajionyesha wazi kuwachukia waarabu, kwa taarifa yako tu, hakuna jamii iliyo na utu, ukarimu kama waarabu. Na usifikiri kuwachukia kwako waarabu ndio na wengine tukufuate, hilo liondoe akilini mwako, na Muisilamu ambae anawachukia waarabu huyo sio muisilamu wa kweli, bali ni jina tu, na wala hajasoma dini.
Bhujiku ng'waka
Siwapendi hao mbwaDuuh hatari! Pole sana mkuu,wabaguzi sana wale watu
Siwapendi hao mbwa
Duuh.....
Duh kwa hiyo kila muislamu ampende hadi Osama sio?
Kasome vita vya bard jinsi mudi alivohusudu vita na uvamizi na kuua watu kwa tamaa na mali. Udhalimu mwingiNdio, na sio kuchukiana. Uislamu umetufundisha kupendana na sio kuchukiana, hata asiekua muislamu hatupaswi kumchukia, bali tuchukie matendo yake
Kasome vita vya bard jinsi mudi alivohusudu vita na uvamizi na kuua watu kwa tamaa na mali. Udhalimu mwingi
Nimesoma jinsi Mohammed alivomuua kiongozi wa Qureysh na kumuoa mke wake hapo hapo ununi mtupu kiongozi wenuHujui unachokiongea, usome Uislamu upate kujua, na sio kuongea tu
Mbona kama unawatetea waarabu ndugu. Tusidanganyane wazungu wana utu sana. Unaweza kupata girl friend au mke wa kizungu na mambo yakawa vema tu. Tumeishi huko na tumejionea wenyewe. Sasa kajaribu kuwa na girl friend au mke kwenye ardhi ya waarabu au wahindi uone. Au ndio kutetea ndugu zako katika imani?Ubaguzi kwa watu wenye ngozi nyeusi upo ulimwengu mzima. Nenda marekani utakutana na racism , ulaya ubaguzi upo, china ubaguzi upo, urusi ubaguzi upo mpk watu weusi wanauliwa.
Nimesoma jinsi Mohammed alivomuua kiongozi wa Qureysh na kumuoa mke wake hapo hapo ununi mtupu kiongozi wenu
Wazungu wana utu bhana waarabu na wahindi wale n zaidi ya washenzi
Mbona kama unawatetea waarabu ndugu. Tusidanganyane wazungu wana utu sana. Unaweza kupata girl friend au mke wa kizungu na mambo yakawa vema tu. Tumeishi huko na tumejionea wenyewe. Sasa kajaribu kuwa na girl friend au mke kwenye ardhi ya waarabu au wahindi uone. Au ndio kutetea ndugu zako katika imani?
Mna kauli moja hivi,muislam ndugu yake muislamNdio, na sio kuchukiana. Uislamu umetufundisha kupendana na sio kuchukiana, hata asiekua muislamu hatupaswi kumchukia, bali tuchukie matendo yake
Kwa mujibu wako ni sawa.Utu wa wazungu uko wapi? Wameuwa maelfu ya innocent people katika nchi za kiislamu, wanafundisha ushoga japo sio wote, sasa utu wao unatoka wapi!
Hakuna jamii watu wake wana roho nzuri, wana huruma kama waarabu, ongea sana ila waarabu wamebarikiwa
Baada ya utumwa,chakula cha π¦.PapaππππWakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k
Takriban watumwa milioni 6 walipelekwa nchi Uarabuni, hawa ni wengi kuliko waliopelekwa Marekani na Carribean ambao ni milioni 4
Inakuwaje Marekani na Carribean kuna watu weusi wengi zaidi kuliko Uarabuni licha ya kupokea watumwa wachache?
View attachment 2371844
Kwa mujibu wako ni sawa.
Mna kauli moja hivi,muislam ndugu yake muislam