Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Hawa mamilioni ya Waafrika waliopelekwa Uarabuni kuwa watumwa waliishia wapi?

Binti alipenda show kali mda wote anaaga kwao huko na kunifata mkoani mwishoni walivyogundua walitaka kuniua kwa vipigo na nusu wanitie ukilema polisi wetu nao waoga hamna msaada isingekuwa binti walikuwa waniue
Duuh hatari! Pole sana mkuu,wabaguzi sana wale watu
 
Yani wewe unajionyesha wazi kuwachukia waarabu, kwa taarifa yako tu, hakuna jamii iliyo na utu, ukarimu kama waarabu. Na usifikiri kuwachukia kwako waarabu ndio na wengine tukufuate, hilo liondoe akilini mwako, na Muisilamu ambae anawachukia waarabu huyo sio muisilamu wa kweli, bali ni jina tu, na wala hajasoma dini.

Bhujiku ng'waka
Duuh.....
 
Ndio, na sio kuchukiana. Uislamu umetufundisha kupendana na sio kuchukiana, hata asiekua muislamu hatupaswi kumchukia, bali tuchukie matendo yake
Kasome vita vya bard jinsi mudi alivohusudu vita na uvamizi na kuua watu kwa tamaa na mali. Udhalimu mwingi
 
Jiulize kwanza ni kwanini Watu weusi tu ndio waliofanywa Watumwa?

Unakua kuwa mpaka Leo Watu weusi ni watumwa hata katika nchi zao?

Wahindi wanawatumikisha sana watu weusi viwandani na kuwalipa elfu 80 mpaka elfu 60 kwa mwezi ndani ya nchi yao
 
Ubaguzi kwa watu wenye ngozi nyeusi upo ulimwengu mzima. Nenda marekani utakutana na racism , ulaya ubaguzi upo, china ubaguzi upo, urusi ubaguzi upo mpk watu weusi wanauliwa.
Mbona kama unawatetea waarabu ndugu. Tusidanganyane wazungu wana utu sana. Unaweza kupata girl friend au mke wa kizungu na mambo yakawa vema tu. Tumeishi huko na tumejionea wenyewe. Sasa kajaribu kuwa na girl friend au mke kwenye ardhi ya waarabu au wahindi uone. Au ndio kutetea ndugu zako katika imani?
 
Wazungu wana utu bhana waarabu na wahindi wale n zaidi ya washenzi

Wazuri kwa kuwaletea ushoga sio! Utaongea mengi sana lakini waarabu watabaki kuwa waarabu, hapo ulipo hata chembe ya ukarimu na roho nzuri huwafikii waarabu, pole sana, endelea kuumia na kuteseka.
 
Mbona kama unawatetea waarabu ndugu. Tusidanganyane wazungu wana utu sana. Unaweza kupata girl friend au mke wa kizungu na mambo yakawa vema tu. Tumeishi huko na tumejionea wenyewe. Sasa kajaribu kuwa na girl friend au mke kwenye ardhi ya waarabu au wahindi uone. Au ndio kutetea ndugu zako katika imani?

Utu wa wazungu uko wapi? Wameuwa maelfu ya innocent people katika nchi za kiislamu, wanafundisha ushoga japo sio wote, sasa utu wao unatoka wapi!

Hakuna jamii watu wake wana roho nzuri, wana huruma kama waarabu, ongea sana ila waarabu wamebarikiwa
 
Ndio, na sio kuchukiana. Uislamu umetufundisha kupendana na sio kuchukiana, hata asiekua muislamu hatupaswi kumchukia, bali tuchukie matendo yake
Mna kauli moja hivi,muislam ndugu yake muislam
 
Utu wa wazungu uko wapi? Wameuwa maelfu ya innocent people katika nchi za kiislamu, wanafundisha ushoga japo sio wote, sasa utu wao unatoka wapi!

Hakuna jamii watu wake wana roho nzuri, wana huruma kama waarabu, ongea sana ila waarabu wamebarikiwa
Kwa mujibu wako ni sawa.
 
Wakuu kama tunavyojua kulikua na biashara ya utumwa, watumwa kutoka upande wa Atlantic wakipelekwa Amerika, Brazil, Jamaica, Haiti n.k mpaka leo hii wamezaliana na wamekuwa mamia ya mamilioni kwa sasa hivi na tunawaona kwenye siasa, mpira, movie, miziki n.k

Takriban watumwa milioni 6 walipelekwa nchi Uarabuni, hawa ni wengi kuliko waliopelekwa Marekani na Carribean ambao ni milioni 4

Inakuwaje Marekani na Carribean kuna watu weusi wengi zaidi kuliko Uarabuni licha ya kupokea watumwa wachache?

View attachment 2371844
Baada ya utumwa,chakula cha 🦈.Papa🏃😂😂🏃
 
Back
Top Bottom