Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.

Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
 
Ni kweli mpira umeshikwa yaani mkono uliongeza ukubwa wa mwili. Lakini ni tukio lililotokea nje eneo la 18.
 
Ni mipango ni mipango ya unbitten.
Kimataifa watachapika hadi wachakae.
Ndio maana wanaliletea aibu Taifa kwenye mechi za kimataifa.

Unbitten unanunuliwa.
 
Kama kawaida:

 
Hii penati ya Yanga dhidi ya Geita mtu ameunawa mpira nje ya eneo la 18 kabisa kisha Refa akaamua iwe penati, siyo sawa hawa waamuzi wetu hawa!
 
Kama unakumbuka konagoli huwezi kushangaa hii
Haya ni maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…