Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.
Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]Ndo maana kimataifa wanabondwaaa nje ndani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaaaaa hapa, vipi n hili au kuna jingine?Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]
Afu timu gani haijawahi kubebwa duniani?
Mechi ya kwanza Makolokolo VS Agosto makolo mlibebwa kwa kuwanyima Agosto penati halali, pia goli lao la pili la kusawazisha mliwakatalia Kwa madai ya offside.
Poor, pua, pua Makolokolo/mbumbumbu/Malalamiko/Makelele FC [emoji38]
Tabia hizi za marefa zimekomaa kwa sasa kwani zilianza muda mrefu. Hata kipindi cha 2017-2021 kwa simba kupewa penalty kama hizi imetokea sana. Lakini wadau mlikuwa kimya. Mnafikiri itakuwa rahisi wakati kidonda kimekomaa.Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.
Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
Kajinyonge na toilet paper iliyoloana...Hii penati ya Yanga dhidi ya Geita mtu ameunawa mpira nje ya eneo la 18 kabisa kisha refa akaamua iwe penati, siyo sawa hawa waamuzi wetu hawa
Wewe huko Kimataifa umemzidi nini Yanga?Hawa utopolo wataendelea kuteseka tu mashindano ya kimataifa
Kinachowauma makolo sio penati bali kile kigoli kimoja mlichopigwa na azam na gap la point 6Kwa Nini Yanga anabebwa kwenye mbeleko ambayo hata kipofu anaona aibu? Kuna haja ya TAKUKURU kuingilia kati maana hii Ni harufu ya bahasha la kaki kwenye umati wa watu.View attachment 2401276