Hawa Marefa wasipodhibitiwa watatuharibia mpira

Punguzeni makasiriko kila mtu ashinde mechi zake. Kwahiyo leo tumewafunga makolo na wachimba dhahabu??? Wanathiiiiiimbaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.

Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]

Afu timu gani haijawahi kubebwa duniani?

Mechi ya kwanza Makolokolo VS Agosto makolo mlibebwa kwa kuwanyima Agosto penati halali, pia goli lao la pili la kusawazisha mliwakatalia Kwa madai ya offside.

Poor, pua, pua Makolokolo/mbumbumbu/Malalamiko/Makelele FC
 
Ndo maana kimataifa wanabondwaaa nje ndani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo maana kimataifa wanabondwaaa nje ndani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bebwa nawe kama UNAUMIA la sivyo utakuwa na wivu wa kike [emoji28]

Afu timu gani haijawahi kubebwa duniani?

Mechi ya kwanza Makolokolo VS Agosto makolo mlibebwa kwa kuwanyima Agosto penati halali, pia goli lao la pili la kusawazisha mliwakatalia Kwa madai ya offside.

Poor, pua, pua Makolokolo/mbumbumbu/Malalamiko/Makelele FC [emoji38]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nimechekaaaaa hapa, vipi n hili au kuna jingine?

Weraaaaaaaaaah! !! Mmebebwaaaaaaaaaa
 
Inauma sana asee, Refa anatoa maamuzi kwa hisia, ama kweli nchi hii ina watu wa hovyo.

Maamuzi ya Refa kutoa penaiti dhidi ya Geita Gold hakika hayakuwa sawa. Mchezaji amepigiwa mpira ukafuata mkono lakini pia kama haitoshi mchezaji alikuwa nje ya eneo la hatari. Aibu.
Tabia hizi za marefa zimekomaa kwa sasa kwani zilianza muda mrefu. Hata kipindi cha 2017-2021 kwa simba kupewa penalty kama hizi imetokea sana. Lakini wadau mlikuwa kimya. Mnafikiri itakuwa rahisi wakati kidonda kimekomaa.
 
😄😄😄
 
Attachments

  • Screenshot_20221026-224655.jpg
    Screenshot_20221026-224655.jpg
    39.1 KB · Views: 3
Hii penati ya Yanga dhidi ya Geita mtu ameunawa mpira nje ya eneo la 18 kabisa kisha refa akaamua iwe penati, siyo sawa hawa waamuzi wetu hawa
Kajinyonge na toilet paper iliyoloana...
Nyinyi si tuliwalamba nje ya kumi na nane?
 
Nikiiangalia Yanga ya GSM , naikumbuka Home Shopping Center.[emoji56][emoji56][emoji56]
 
[emoji1787]
 
Kafungwa Geita Gold ila wanaoumia ni makolo, hivi mbona wao Geita Gold wala hawakuumia pindi mlivyofungwa na azam
 
Back
Top Bottom