Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu.
Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu?
Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na huku akiwa na kiu,akikutana na maji tu mbele yake anasimama kunywa kwanza na kusahau kama anafukuzwa na Simba ili aliwe.
Ndio sababu nyuma mwiko huwaita mashabiki wa Simba mbumbumbu