Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi.
Angalau leo nimemsoma GuDume hatari sana hii namba. BABU CHAFU. huwa nacheka tu napomsoma. Leo nimemsoma tena na style yake ya MAPIGO NA MWENDO. Bado akili hajafanikiwa kupata ndo mtaji wa CCM akili za huyu jamaa.
Nammiss sana Bill Lugano aka Kidukulilo. Jamaa mmoja bwana mdogo lakini ana pesa sana. Hadi Serikali ina mtambua. Amekuwa kimya sana. Hiyu dogo yeye hana makasiriko kabisa. Pesa anayo. Na amewala sana watoto wazuri wa JF.