Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,489
- 5,764
🤣🤣🤣🤣We jamaa Wewe huyo Nyani Ngabu mbona anachangia Sana mijadala humu,kafa lini?Nimesikitika sana umewataja wanaJF wenzetu waliorudi kwa mola wao
Nadhani moja ya vitu alivyoacha kama mirathi ni account ya JF hivyo warithi ndio wanaituma🤣🤣🤣🤣We jamaa Wewe huyo Nyani Ngabu mbona anachangia Sana mijadala humu,kafa lini?