Hawa ndio Hizbollah waliokuwa wanasifiwa kwa ile vita ya 2006?

Hawa ndio Hizbollah waliokuwa wanasifiwa kwa ile vita ya 2006?

Championship

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2019
Posts
5,500
Reaction score
10,616
Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006.

Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona wakati ule Israel iliwaachia wakajiona wako vizuri lakini safari hii wayahudi wameona wamalize mchezo.

Poleni sana THE BIG SHOW FaizaFoxy Ritz
Adiosamigo Malaria 2

Kimbilieni kwa Yesu mpate wokovu maana Allah ameshindwa.

PIA SOMA
- Breaking News: - Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah
 
Vita ni mbinu mkuu na kuwahiana.
Usimsifie tu Israel kwa alichofanya msifie pia Hizbollah amempa changamoto kubwa zilizomfanya afunguke kimbinu zaidi.
Hata hao Israel ukiwauliza watakuambia haikua RAHISI hata kidogo.
Kuna gharama kubwa waliyoiingia hadi kufanikisha hili walilofanikisha.
 
Kwenye shambulizi lile Israel wamemuua na Brigadier General Abbas Nilforooshan wa Iran.

Jenerali mwingine kauwawa. Lini makombora ya Iran yasiyo na madhara yatafyatuliwa Kosugi
Leo ninakiri kuwa Mossad wamefanya vema japo haikuwa rahisi gharama kubwa imewaingia kufanikisha haya.

Ila kuhusu makombora ya Iran hakuna kombora la Iran lisilokua na madhara.
Maana ndio hayo hayo yaliyotia askari 70,000 wa Israel ulemavu wa kudumu.
 
Back
Top Bottom