Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Huwa wanasema ukiishii nje upata uelewa mwingine tofauti wa mambo lakini kama ni mjinga ni mjinga tu hata uishi Mars.Hahahaaa!
Hawana lolote hao.
Ukweli ni kwamba Wakristo na Wayahudi ni akili kubwa sana.
Sasa ukristo na uyahudi una husiana nini na akili ?
Afrika yamejaa majitu majinga yanayo uziwa udongo wa upako hawa ni vichaa huwezi ita akili kubwa