*Nani kakwambia Iran hana silaha!?
Makombora aliyorusha Yemeni yakashindwa kuwa intercepted kutoka Yemeni hadi Tel Aviv lile hypersonic missile ni Iranian made.
Usijitoe akili kijana.Makombora ya Faad ambayo Israel alishindwa kuyadungua kwa iron dome yalipotumiwa na Hizbollah ni Iranian made.Iran ana high precision guided missiles kuliko mtu yeyote hapo middle east,tena yana uwezo wa kukwepa interceptors.Kutokuyatumia ana sababu za kidiplomasia,ni mwaka wa 41 sasa yupo katika vikwazo vya kiuchumi,anajitahidi kupambana ajiondoe katika vikwazo hivyo vya kiuchumi ndio maana unamuona haendekezi direct war.
*Hivi bro unajielewa kweli!?
Nahisi umedata wewe,unajua imegharimu maisha ya raia wangapi na askari wangapi kwa Iran kufadhili hayo makundi??
Nahisi Israel akikusikia anaweza kukuchapa mangumi.
*Soma kwa uelewa, nimekwambia Iran anayo technology ya nuclear sio tu ya nishati bali hadi ya kuunda silaha.Na kinu cha Isfahan kimevuka asilimia 38 ya urutubishaji,inamaana kina uwezo wa kuunda silaha.UN nuclear watchdog walitoa ripoti mwaka huu kipindi wanamuondolea vikwazo vya silaha.Inamaana kama akiunda nuke weapon anakua tishio zaidi kwasababu atakua ana silaha sawia na USA na huyo Iran hakuna cha kumrudisha nyuma.
Ndio maana kila siku Netanyahu akiwa UNSC analalamika msiruhusu Iran aunde silaha hususan za nuclear.