MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Tatizo una-focus kwenye "nchi ngapi zilishiriki kuzuia makombora"... unashindwa kuangalia uhalisia kwamba "makombora yalizuiwa".Huna unalojua pia wewe ni mgumu kuelewa.
Narudia tena kama Iran ingekua na uwezo mdogo basi USA,UK na France wasingeungana kuzuia shambulizi.
Mie huwa nikiona mtu mbishi humpa tu taarifa.
HALAFU KAA JIULIZE KWA UWEZO WA KIJESHI WA USA NA UK JE NI WA KUUNGANA KUZUIA SHAMBULIZI MOJA LA IRAN KUELEKEA ISRAEL!???
Unapoongea jua unaongea na watu wanaojua na wanaojielewa kuliko wewe,sawa kijana!?
Kama Israel angekua anajiweza na kama Iran ingekua na uwezo mdogo MAREKANI NA UINGEREZA WASINGEINGILIA KATI TENA WOTE KWA PAMOJA.
View attachment 3149726
Kitu cha muhimu ni uwezo wa Iran kuleta madhara kwa Israel. Uwezo huo hawana, hayo makombora yao hayana huo uwezo. Hilo ndio kubwa, nani alishiriki or not; sio jambo la muhimu sana.
Hakuna jambo la ajabu walilofanya USA, UK na wenzao; wenzako wana siasa pia. Kuisaida Israel ni sehemu ya domestic politics.
Mwisho wa siku, ukweli unabaki. Iran haiwezi kuidhuru Israel.