Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
T14 ArmataKila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006...
Kwenye shambulizi lile Israel wamemuua na Brigadier General Abbas Nilforooshan wa Iran.
Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006...
Hezbollah sasa hivi simu , radio call wala pager hawagusi wakigusa zinawaua wasipogusa wanauwa2006 technology ya udukuzi ilikuwa bado changa sasa hivi mwenye tech ndio anashinda.
Vita ni mbinu mkuu na kuwahiana.Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006.
Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona wakati ule Israel iliwaachia wakajiona wako vizuri lakini safari hii wayahudi wameona wamalize mchezo.
Poleni sana THE BIG SHOW FaizaFoxy Ritz
Adiosamigo Malaria 2
Kimbilieni kwa Yesu mpate wokovu maana Allah ameshindwa.
PIA SOMA
- Breaking News: - Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah
Iran inamtisha Israel kuliko Misri.Hapo Middle East nchi pekee yenye uwezo wa kuitisha Israel ni Misri peke yake. Na tayari iko mfukoni mwa Marekani, hawa wengine wanapoteza muda tu.
Leo ninakiri kuwa Mossad wamefanya vema japo haikuwa rahisi gharama kubwa imewaingia kufanikisha haya.Kwenye shambulizi lile Israel wamemuua na Brigadier General Abbas Nilforooshan wa Iran.
Jenerali mwingine kauwawa. Lini makombora ya Iran yasiyo na madhara yatafyatuliwa Kosugi
Iran ana kikosi chake ndani ya Hizbollah.Huyo Iran ndo linachochea wenzake huku lenyewe linaogopa vibaya.