Iliwaachia wapigwe hivi wewe unaweza achia ufumuliwe marinda?Kila mwaka tulipokuwa tunaandika juu ya umahiri wa Israel tuliambiwa kiboko yake ni Hizbollah na kwamba wayahudi walipigwa mwaka 2006.
Sasa miaka 18 baadae ndio hawa waliokuwa wanasifiwa? Ninaona wakati ule Israel iliwaachia wakajiona wako vizuri lakini safari hii wayahudi wameona wamalize mchezo.
Poleni sana THE BIG SHOW FaizaFoxy Ritz
Adiosamigo Malaria 2
Kimbilieni kwa Yesu mpate wokovu maana Allah ameshindwa.
PIA SOMA
- Breaking News: - Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah
Duuu unaweza mtoa nyani porini lakini huwezi toa pori kwenye kichwa Cha nyani.Hahahaaa!
Hawana lolote hao.
Ukweli ni kwamba Wakristo na Wayahudi ni akili kubwa sana.
Nilomjibu ana uelewa mkubwa sio PANG'ANG'A kama wewe.Takwimu za msikitini
Umeona uwezo wa Iran ulivyo mdogo!*Nani kakwambia Iran hana silaha!?
Makombora aliyorusha Yemeni yakashindwa kuwa intercepted kutoka Yemeni hadi Tel Aviv lile hypersonic missile ni Iranian made.
Usijitoe akili kijana.Makombora ya Faad ambayo Israel alishindwa kuyadungua kwa iron dome yalipotumiwa na Hizbollah ni Iranian made.Iran ana high precision guided missiles kuliko mtu yeyote hapo middle east,tena yana uwezo wa kukwepa interceptors.Kutokuyatumia ana sababu za kidiplomasia,ni mwaka wa 41 sasa yupo katika vikwazo vya kiuchumi,anajitahidi kupambana ajiondoe katika vikwazo hivyo vya kiuchumi ndio maana unamuona haendekezi direct war.
*Hivi bro unajielewa kweli!?
Nahisi umedata wewe,unajua imegharimu maisha ya raia wangapi na askari wangapi kwa Iran kufadhili hayo makundi??
Nahisi Israel akikusikia anaweza kukuchapa mangumi.
*Soma kwa uelewa, nimekwambia Iran anayo technology ya nuclear sio tu ya nishati bali hadi ya kuunda silaha.Na kinu cha Isfahan kimevuka asilimia 38 ya urutubishaji,inamaana kina uwezo wa kuunda silaha.UN nuclear watchdog walitoa ripoti mwaka huu kipindi wanamuondolea vikwazo vya silaha.Inamaana kama akiunda nuke weapon anakua tishio zaidi kwasababu atakua ana silaha sawia na USA na huyo Iran hakuna cha kumrudisha nyuma.
Ndio maana kila siku Netanyahu akiwa UNSC analalamika msiruhusu Iran aunde silaha hususan za nuclear.
Yesu huyu aliyepigiliwa misumali na viumbe wake!?Kwasasa lazima kila mtu atambue kwamba yupo Mungu mmoja tu na jina lake ni Yesu Kristo. Hiyo miungu ya baal, dagon na allah yote itakuja kukiri kwamba Yesu Kristo ni Bwana na Mungu mkuu.
Punguani kweli wewe.Umeona uwezo wa Iran ulivyo mdogo!
Takwimu gani... unajua maana ya efficiency?Punguani kweli wewe.
Takwimu zote hizo unadiriki kusema Iran uwezo mdogo!??
Bado unaendelea kuropoka aisee.Takwimu gani... unajua maana ya efficiency?
Chukua results gawanya kwa efforts ndio uone
You talk too much....Bado unaendelea kuropoka aisee.
Hakuna kile asichofanya Iran kikakosa efficiency.
Mfano wa kitendo kimoja tu,shambulio la April la Iran dhidi ya Israel mataifa kama USA,UK,FRANCE NA JORDAN yalisaidia kulizima hilo shambulio.
Kitendo cha mataifa makubwa matatu USA,UK,France kuingilia kuzima shambulio hilo linamaanisha kuwa Iran ana capability kubwa ambayo Israel kamwe hawezi kuizuia peke yake.
Jiulize hayo mataifa yasingeshiriki Israel ingekuaje.
Chukua soda bia chama vocha nakuja kukulipia n hv nwenye techn adv ndio mshindi uzur ni kua us ndo alihitimisha kila kitu yaliobakia ni kuchoshana na yy alichukua experience fro torabora Afghanistan2006 technology ya udukuzi ilikuwa bado changa sasa hivi mwenye tech ndio anashinda.
Unaropoka wewe pia hujielewi.You talk too much....
Leta takwimu.
Makombora mangapi yametupwa?
Mangapi yalifika target?
Yamesababisha madhara kiasi gani?
Vinginevyo unafurahisha genge.
Narudia tena, Iran ina efforts nyingi, matokeo sifuri.
Bora hata Hamas
Ukishaona mtu anaongea sana na lugha za ajabu ajabu ujue facts haziko upande wakeUnaropoka wewe pia hujielewi.
Narudia tena kitendo cha USA,UK na France kujumuika kuzuia shambulizi moja hiyo inajulisha Iran ana capability.
Ingekua Iran ni incapable ni taifa moja pekee lingetumika kuzuia shambulizi.
Zumbukuku wewe sibishani na zumbukuku.
Kakojoe ulale.
Huna unalojua pia wewe ni mgumu kuelewa.Ukishaona mtu anaongea sana na lugha za ajabu ajabu ujue facts haziko upande wake
Unaruhusiwa kuchukua nchi za magharibi, lakini usiseme uongo kuhusu uwezo wao.