Hawa ndio Hizbollah waliokuwa wanasifiwa kwa ile vita ya 2006?

Tatizo una-focus kwenye "nchi ngapi zilishiriki kuzuia makombora"... unashindwa kuangalia uhalisia kwamba "makombora yalizuiwa".

Kitu cha muhimu ni uwezo wa Iran kuleta madhara kwa Israel. Uwezo huo hawana, hayo makombora yao hayana huo uwezo. Hilo ndio kubwa, nani alishiriki or not; sio jambo la muhimu sana.

Hakuna jambo la ajabu walilofanya USA, UK na wenzao; wenzako wana siasa pia. Kuisaida Israel ni sehemu ya domestic politics.

Mwisho wa siku, ukweli unabaki. Iran haiwezi kuidhuru Israel.
 
Still unaropokaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
Yani USA ijisumbue kwenda kupeleka manowari kuilinda Israel ilhali inajua kuwa Iran haiwezi kuidhuru Israel!??
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mbona USA haikupeleka jeshi na silaha kuilinda Israel dhidi ya Syria na iilinde dhidi ya Iran!??
Utakaa sawa tu tulia nikuletee madhara ya shambulio.
Tena hilo ni la April la Oktoba ndio lilikua deadliest hata hao USA walishindwa kulizuia.
 
Wewe utaelewa tu pasi na kulazimisha.Tukimaliza hili tujadili shambulio la Oktoba mosi.Maana hili ni la April.Halafu useme Iran ina au haina uwezo.
 
Tupe summary

Effort
--- Makombora mangapi?
Results
--- Wamekufa wa Israel wangapi?
--- Vitu kiasi gani vimeharibiwa?
Nimekuletea habari nzima unataka nini tena!??
Bado unatafuta kichaka cha kujificha!?
Pia usisahau kuwa Israel alikingiwa kifua na mataifa matatu makubwa ili kupunguza maafa.

Kubali huna hoja kijana.
Vipi tuzungumzie shambulio la Oktoba mosi na madhara yake!?
 

Nimekwambia mara kadhaa, you talk too much....

Sept 11, 2001 in US - 3,000 dead
Oct 7 2023 in Israel - 1,200 dead + 250 hostages

Sema madhara aliyoleta Iran na juhudi zake
 
Nimekwambia mara kadhaa, you talk too much....

Sept 11, 2001 in US - 3,000 dead
Oct 7 2023 in Israel - 1,200 dead + 250 hostages

Sema madhara aliyoleta Iran na juhudi zake
Hoja huna,ila utakaa sawa tu.
Unajua kwanini nimekuletea hiyo article!?
Embu isome tena.
SITAKI KUONGEA NA WEWE SOMA ARTICLE HIYO,JE HUONI SEHEMU YA SIGNIFICANT DAMAGES!??
PUNGUZA UFALA BASI.
Soma outcomes zinasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…