Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

Hawa ndio maveterani wanaocheza NBCpremier league 2022/23

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Sina maneno mengi...
15.Haruna Shamte--Geita(35)
Kuzaliwa 1988.
--Simba,Lipuli,Namungo

14.Benjamin Asukile.--Prison(35)
Kuzaliwa 1988

13.Erasto Nyoni-simba (35)
Kuzaliwa 1988
--azam,vital'o

12.Amis Tambwe -SBs(35)
Kuzaliwa 1988
-simba,Yanga

11..Salumu kanoni--Mtibwa(35)
Kuzaliwa 1988
-- Simba

10.Zawadi mauya--
Kuzaliwa 1988
Yanga(35)
--kagera sugar,Lipuli

9..Sureboy--Yanga(35)
Kuzaliwa 1988
--Azam

9..Ramadhani Chombo--
Poisi(36)
Kuzaliwa 1987
--Simba,Geita,Biashara

8.Saido Ntibazonkiza--Simba(36)
Kuzaliwa 1987
--Yanga,Geita

7.Medie kagere--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba

6..Serge Pascal wawa--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba ,Azam

5.Henry Joseph--
Mtibwa(38)
Kuzaliwa 1985
--Simba,Pamba

4..Agrey moris--Azam(39)
Kuzaliwa 1984
--Prison

3.Kelvin Yondani--Geita Gold(39)
Kuzaliwa 1984
--Polis,Simba, Yanga

2.Juma nyoso- Ihefu(40)
Kuzaliwa 1983
--Ashanti,Simba,Mbeya city,kagera,Geita .

1.Shabani Kisiga--TanPrisoni(43)
Kuzaliwa 1980
--Simba,Ruvushooting,Mbeya city
 
yondani, nyoso na kisiga inawezekana huo ndio umri wao, hao wengine wamedanganya!
ila henry joseph bado yupo? nilijua ameshastaafu
 
yondani, nyoso na kisiga inawezekana huo ndio umri wao, hao wengine wamedanganya!
ila henry joseph bado yupo? nilijua ameshastaafu
Ngoja niendelee na utaft kuhusu Henry Joseph Ila last season alicheza mtibwa..
Vipi umri wa mauya nako una mbamba?
 
shabani kisiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
umewasahahu
kapombe 37
zimbwe 34
mkude 35
boko 43
ntibazonkiza 42
nyoni 45
kibu denis 42
onyanga 43
baleke 37
phiri 34
chama 39
mzamiru 38
Haahaaaaa, hii list umeamua tu kutania ila sidhami kama hao wana umri huo. Kapombe namuona 2009 au 2010 akiwa Moro kids then akasajiliwa Simba Msimu huo mi nikiwa SUA pale Morogoro hawezi kuwa na umri huo. Mi mwenyewe na 36 then kapombe awe na umri huo. Hapana bro.
 
Hapo kwa jirani yangu street-mate brother Henry Joseph Shindika umetudanganya, saizi ni mmoja wa wakufunzi pale Mtibwa, na wala sio kocha mchezaji kama Agrey Moriss. Akirudi mtaani huwa anatrain vijana pale uwanja wa Kihonda sec. pamoja na Ulimboka.
 
Sina maneno mengi...
15.Haruna Shamte--Geita(35)
Kuzaliwa 1988.
--Simba,Lipuli,Namungo

14.Benjamin Asukile.--Prison(35)
Kuzaliwa 1988

13.Erasto Nyoni-simba (35)
Kuzaliwa 1988
--azam,vital'o

12.Amis Tambwe -SBs(35)
Kuzaliwa 1988
-simba,Yanga

11..Salumu kanoni--Mtibwa(35)
Kuzaliwa 1988
-- Simba

10.Zawadi mauya--
Kuzaliwa 1988
Yanga(35)
--kagera sugar,Lipuli

9..Sureboy--Yanga(35)
Kuzaliwa 1988
--Azam

9..Ramadhani Chombo--
Poisi(36)
Kuzaliwa 1987
--Simba,Geita,Biashara

8.Saido Ntibazonkiza--Simba(36)
Kuzaliwa 1987
--Yanga,Geita

7.Medie kagere--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba

6..Serge Pascal wawa--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba ,Azam

5.Henry Joseph--
Mtibwa(38)
Kuzaliwa 1985
--Simba,Pamba

4..Agrey moris--Azam(39)
Kuzaliwa 1984
--Prison

3.Kelvin Yondani--Geita Gold(39)
Kuzaliwa 1984
--Polis,Simba, Yanga

2.Juma nyoso- Ihefu(40)
Kuzaliwa 1983
--Ashanti,Simba,Mbeya city,kagera,Geita .

1.Shabani Kisiga--TanPrisoni(43)
Kuzaliwa 1980
--Simba,Ruvushooting,Mbeya city
Henry Joseph hachezi ni kocha pale Mtibwa ila nami nikishtuka kumuona Shabani Kisiga anacheza Prison hadi leo. Ilinishangaza sana.
 
Hapo kwa jirani yangu street-mate brother Henry Joseph Shindika umetudanganya, saizi ni mmoja wa wakufunzi pale Mtibwa, na wala sio kocha mchezaji kama Agrey Moriss. Akirudi mtaani huwa anatrain vijana pale uwanja wa Kihonda sec. pamoja na Ulimboka.
We jamaa wa Morogoro. Umenikumbusha mitaa ya Kihonda hiyo nilikuwa napiga mpira na pia kuangalia Mpira na akina Jumanne Shengo Tondoro mitaa ile ya Maghorofani kipindi hiko. Nimecheza sana mpira hapo Kihonda Sec, nilikuwa nakaa karibu na Kihonda Sec hapo.
 
Hata mm, ila kwa rekodi za dunia huwakuti mahali popote, tatizo ni nini
Nimeshangaa kuona Henry Joseph, Shaban Kisiga kwamba wangali wanasukuma gozi...?
 
Mbona umemsahau John Bocco mbona kacheza mpira toka zamani sana!
 
Sina maneno mengi...
15.Haruna Shamte--Geita(35)
Kuzaliwa 1988.
--Simba,Lipuli,Namungo

14.Benjamin Asukile.--Prison(35)
Kuzaliwa 1988

13.Erasto Nyoni-simba (35)
Kuzaliwa 1988
--azam,vital'o

12.Amis Tambwe -SBs(35)
Kuzaliwa 1988
-simba,Yanga

11..Salumu kanoni--Mtibwa(35)
Kuzaliwa 1988
-- Simba

10.Zawadi mauya--
Kuzaliwa 1988
Yanga(35)
--kagera sugar,Lipuli

9..Sureboy--Yanga(35)
Kuzaliwa 1988
--Azam

9..Ramadhani Chombo--
Poisi(36)
Kuzaliwa 1987
--Simba,Geita,Biashara

8.Saido Ntibazonkiza--Simba(36)
Kuzaliwa 1987
--Yanga,Geita

7.Medie kagere--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba

6..Serge Pascal wawa--SBs(37)
Kuzaliwa 1986
--Simba ,Azam

5.Henry Joseph--
Mtibwa(38)
Kuzaliwa 1985
--Simba,Pamba

4..Agrey moris--Azam(39)
Kuzaliwa 1984
--Prison

3.Kelvin Yondani--Geita Gold(39)
Kuzaliwa 1984
--Polis,Simba, Yanga

2.Juma nyoso- Ihefu(40)
Kuzaliwa 1983
--Ashanti,Simba,Mbeya city,kagera,Geita .

1.Shabani Kisiga--TanPrisoni(43)
Kuzaliwa 1980
--Simba,Ruvushooting,Mbeya city
Huo ni umri wa kwenye pass zao za kusafiria, na pia kusajiliwa. Ukija kwenye umri halisi sasa, unatakiwa kuongeza miaka kuanzia 3 mpaka 5! Ndiyo utapata umri wao halisi.

Naongea through experience. Maana nilishawahi kuwa kocha wa U20 na pia Copa Coca Cola ya U17 miaka hiyo.
 
1.Kisiga,Agrey,Henry Joseph hawachezi tena mzee baba,

Salum Kanoni bado anakipiga mbona hatumuoni......wenzake wa umri mmoja walishatundiga daluga zamani waliocheza nae Kigoma united enzi za Reli na MMabanga.....wadogo wakina Matola na Said Maulid,Juma Kaseja.

Ila Kaseja ana udongo mzuri mzee haonekani kuzeeka kabisa sijui bado yupo Kmc....kuna siku ndugu yake yupo SA alimtumia hela jamaa akaja kijiweni kuchukua bado anadai kabisa.
 
Swala la umri KWA sisi waafrika na watanzania ni jambo ambalo sio la ukweli maana wengi wanapunguza umri Ili wapate Nafasi na makocha ndio chanel cha yote....nimewahi kusikia kabisa Kocha anasema tumempungizia mchezaji fulani miaka kwenye mashindano ya Copa coca-cola....Ili apate Nafasi.

Kuna wale wachezaji wa kopa Coca-cola ya kwanza kwanza 2008-2011 wengi walifoji miaka Ili kwenda Dar kama Kina Lambele Jerome,ile waliyoendaga Brazil wengi walikuwa wakubwa kabisa...sasa hasa wachezaji miaka yao ni zaidi ya hiyo. 35 ni 38 au 40 kabisa.

Mimi mwenyewe kuna muda nilifanyiwa mipango ya kuingia timu B ya Yanga nilikuwa na zaidi ya miaka 20....na kuna jamaa wakubwa tulikuwa tunqpiga nao boli mitaa ya Mbagala Kiburugwa walikuwa Yanga B, halafu ni wakubwa kabisa.

Kuna jamaa anaitwa Babu tulikuwa tunqpiga nae tizi alicheza na Samatta ile Mbagala Market wamekuwa wote rika Moja ila ile miaka Ya 2014-15 jamaa alikuwa na miaka 30,alikuwa kisha acha kucheza soka la ushindani....Samatta ndio alikuwa ana waka.
 
umewasahahu
kapombe 37
zimbwe 34
mkude 35
boko 43
ntibazonkiza 42
nyoni 45
kibu denis 42
onyanga 43
baleke 37
phiri 34
chama 39
mzamiru 38
Huu sasa utani, 43 utacheza mpira dk 90 kweli ?
 
Back
Top Bottom