promo ya nini mkuu hii ni rality kaka
watu hawa hata ukiwataja kwenye daladala kutokana na umaarufu wao kama kuna member yoyote ndani ya dalala hiyo basi lazima atageuka nao si wengine bali na hawa wafuatao
1.mzizi mkavu
2.baba v
3.madamme x
4.fingafinga
5.lala
6.hevean on desert
7.smile
8.appoh
9.kongosho
10.watu8
Kama wewe ungejiengua basi thread ingekua subtlely sensible, lakini kwa kujiweka umeua kila kitu.....watu hawa hata ukiwataja kwenye daladala kutokana na umaarufu wao kama kuna member yoyote ndani ya dalala hiyo basi lazima atageuka nao si wengine bali na hawa wafuatao
1.mzizi mkavu
2.baba v
3.madamme x
4.fingafinga
5.lala
6.hevean on desert
7.smile
8.appoh
9.kongosho
10.watu8
Hebu kajifunze kuandika kijana
fingafinga ndio nani?
lala ndio nani?
nimekiz ndio nini?
rality ndio kitu gani?
pressure na credibility vina u a.k.a wapi na wapi?