Hawa ndio member kumi maarufu zaidi hapa Jamiiforum

kati ya watu kumi mmoja ana ukimwi,je ni yupi kati yao,source ni who kila kati ya watu 10 mmoja mgonjwa
 
Haya tuma salamu make sa hizi bado nipo katika majonzi ya kuwazika mapacha wawili wa kakangu leo nakuwa mpole sana
 
Upumbavu at its best.
Mkuu Baba V Njoo uone unavyodhihakiwa huku...
 
Last edited by a moderator:
Yaani mi simo wkt kila mara una like comments na posts zangu? Isije ikawa km yale mambo ya buku7 pale lumumba
 
umesahau akumalizia ni katika social forumskuna mtu kama chief mkwawa na c6 ni hatari katika jukwaa la tecnolojia au emt na mzee mwanakijiji katika jukwaa la siasa not to mention Invisible ambaye yeye kila sehemu yupo
 
Last edited by a moderator:
Join Date : 14th March 2013
Posts : 1,067
Rep Power : 0
Likes Received192
Likes Given34​





ALAFU UNAJIITA MAARUFU HUMU JF ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…