Hawa ndio Members wa JF wenye contents katika nyanja mbalimbali

Mimi naikubali sana michango ya ndg. t blj katika masuala ya mechanics, coz napenda sana haya mambo. Apart from that, huwa nasoma pia michango yake kwenye masuala mengine. I see him as someone with a wider perspective and an exposure on many matters. Nikiri tu whenever I login napitiaga profile yake nione amecomment nini leo. Nimejifunza mengi from his content. The only problem aanzishagi nyuzi. To me, he's a valuable member in the forum
 
Humble african
Eiyer.
Da Vinci Jamaa mmoja Hivi design ya kina Wentworth Miller..
Huwa anaact Ana maisha ya shida ila kiundani Hana shida zozote shachat nae sana outside if.
Ila namkubali kwa mada zake.
 
Kuna yule jamaa alikuwa wa kwanza kuchangia kila uzi wa kila member hata kama ni usiku wa manane sijui alipotelea wapi, nilitegemea angekuwa kwenye orodha kwakuwa alichangia kila uzi wa kila member kila wakati
 
Mwana shukrani sana sikutegemea [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kuna yule jamaa alikuwa wa kwanza kuchangia kila uzi wa kila member hata kama ni usiku wa manane sijui alipotelea wapi, nilitegemea angekuwa kwenye orodha kwakuwa alichangia kila uzi wa kila member kila wakati
mimi mwenyewe nimemsemea..kuna watu wapo vzr asee,anaitwa Joseverest
 

Uache shobo naww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…