Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
raraa reree hayumo acha ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ulimpa email huyu Kwani bado hajakutafuta? 😹😹😹Siku ukinisifia kama hivi mvua itanyesha
🤣😹😹😹😹Ujasiri wa kumwambia mtu nampenda mbele ya hadhara sina we unawezaje? Yani mie nikiandika hivyo kwanza napozi tena ni ile ya kiuongo uongo,, ila hii yako imetoka moyoni kabisa
Weeh sema kweli 😹😹😹Bantu Lady , ana hekima na busara sana huyu dada.
Nifah , huyu sasa hivi yuko kwenye penzi zito, hashauriki.
Cute Wife , anajitahidi sana kwenye uandishi!
Evelyn Salt , huyu ana majibu fulani ya kisela a.k.a makavu live!
To yeye , huyu anapenda sana yale mambo yetu!
Aaliyyah , huyu anapenda sana kupika!
Shadeeya , hana tofauti sana na To yeye
Lamomy , huyu kama To yeye
Missy Gf , huyu naye kama To yeye
Nb: Wote pokeeni maua yenu!
😹😹😹😹 haki leo ntalala mbavu zinaumaWanaume wenye ID za kike walichachamaa kutoka kila kona ya JF shindano likafia pale pale
Nae pia ana mchango wake hana kifua yule ahahahah joking ty
Aah akipatikana wa kumpenda mbona nitaandika tena na hizi fujo zote zitaisha bado sijapendwa vizuri mahi,,,🤣😹😹😹😹
Mahi umekuwaje lakini? Uchinjwe Xmas
Si babu G yupo jomonii 😜Aah akipatikana wa kumpenda mbona nitaandika tena na hizi fujo zote zitaisha bado sijapendwa vizuri mahi,,,
Kuna jambo silielewi baadhi ya notification za watu sizipati mpk nisome, hasa kwa mnaotumia app
🤣🤣🤣kuna siku ilibidi nijiponde😅😅 ili kusawazisha mfadhaiko ulioanza kujitokezaSi babu G yupo jomonii 😜
Pole mi situmii app nisije kubambwa Mr akaijua id yangu tuanzie hayo hayo 🤣😹😹😹
Mi nilikuwa na app nikaambiwa “Nini hiki?” Haya futa 😹😹🤣🤣🤣kuna siku ilibidi nijiponde😅😅 ili kusawazisha mfadhaiko ulioanza kujitokeza
Si ajabu uyo shem ananijua na usemi sio unamwambiaga nakunywa pepsiMi nilikuwa na app nikaambiwa “Nini hiki?” Haya futa 😹😹
Sema nampaga ubuyu wa watu wa huku tunacheka balaa..! Akiuliza id yangu namwambia Akhu mi naingia km guest 🤣
Kuna siku alikuta kuna mtu nimemjibu kwa voice WhatsApp kawaida tyuu ila nikaambiwa nimelegeza sana sauti kwann?? 🤣🤣🤣
Kuna huyu jamaa anaitwa @kilangakomoWakuu Baada ya kufanya utafiti mwaka huu mzima kuhusu watu wenye mchango mkubwa hapa jf hatimaye nimekujana na generalization of findings
Hawa ndio members wenye mchango mkubwa hapa jf
1 Labani og ...Huyu mwamba kama ingewezekana angekuwa analipwa tu na jf ..... mchango wake hapa jf ni extraordinary Kwani nimchambuzi wa soka, kwenye siasa ni mtu makini ... kwenye jukwaa la mahusiano ...yeye ni top advisor etc.....kikubwa huyu mwamba ni hatari
Extrovert ....ni mwamba mwenye akili mingi (genius) Baada ya Labani og ....ukiangalia contents zake zimeshiba madini....elimu na mambo mbalimbali ya kijamii
Nifah ....kulingana na utafiti wangu huyu mwanadada ni. Ameupiga mwingi mwaka huu Kwani unaweza sema yeye ni CIA, au mossad Kwan anapata classified Intel za ubuyu ambazo surely hua ni za ukweli
Tate Mkuu ...mwamba kaupiga mwingi kwenye upande wa futbol forum Kwa kuwa ni mtu ana comment Kila Uzi
Kalpana huyu ni member anayepitia maumivu makali Kila siku jukwaa la michezo kulingana ukindaki ndaki Kwa Simba ..ni kawaida kulala siku mbili bila kula kisa Simba [emoji23]
Robert Heriel Mtibeli ....mwamba sana huyu mwaka huu.....naweza mwita philosopher king wa jf .....mwamba anatoa madini mwanzo mwisho ...anaifanya jf kuwa kama Ile ya zamani kabla haija haribiwa na kina Mshangazi [emoji23][emoji23]
min -me ....jamaa katajwa sana adi nmeona aibu [emoji23][emoji23] name quote Poor Brain kwanza ni mtu wa heshima sana kiufupi ni mtu na heshima zake...
Japo ni mchambuzi wa nyuzi za maadili ila anapenda watoto.
min -me yuko vizuri kwny kuongelea vijana na harakati za maisha kwa njia ya unyenyekevu hasa kwny comments zake sema ana mahaba mno na na watoto wa 2000[emoji23][emoji23][emoji23]
To yeye mbeya girl popote ulipo ...mauwa Yako yakufikie Kwa ukubwa ,....kuwa miongoni mwa influencer wa jf mwaka huu
NB: research hii imefanyika mwaka huu mzima.....ikitumia participatory observation.... were as a researcher I was direct involved in study population.....where I watched everything happening there ( in JF)View attachment 3133955
Waweza ongezea mwingine ambaye kaupiga mwingi
Kuna siku badamu batamwagika, nimecheka ningesema kitu tatizo kuna wakaka wambea humu,Mi nilikuwa na app nikaambiwa “Nini hiki?” Haya futa 😹😹
Sema nampaga ubuyu wa watu wa huku tunacheka balaa..! Akiuliza id yangu namwambia Akhu mi naingia km guest 🤣
Kuna siku alikuta kuna mtu nimemjibu kwa voice WhatsApp kawaida tyuu ila nikaambiwa nimelegeza sana sauti kwann?? 🤣🤣🤣