Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

Yeah, ijapokuwa hapo wengi sio vijana ni watu wazima wanaoelekea uzeeni 45-50+

Experience makes a person better or bitter
 
Jf siku hizi ina machawa wengi kuliko members
 
Umeona ya nini?
Bora ujipe maua yako mwenyewe..!! 😹😹
 
Hiyo ni kwa mujibu wa ujinga wako sisi hatuhusiki😊😊😊
Kwanza tuulize katika jukwaa gaani utashangaa MMU!!😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom