Hawa ndio vijana humu ambao comments zao mara zote ni fikra kuntu na zenye staha

Yeah, ijapokuwa hapo wengi sio vijana ni watu wazima wanaoelekea uzeeni 45-50+

Experience makes a person better or bitter
 
Jf siku hizi ina machawa wengi kuliko members
 
Umeona ya nini?
Bora ujipe maua yako mwenyewe..!! 😹😹
 
Hiyo ni kwa mujibu wa ujinga wako sisi hatuhusiki😊😊😊
Kwanza tuulize katika jukwaa gaani utashangaa MMU!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…