Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Dear mtibeli wa watibeli, napokea maua yangu na mwaka unaisha vizuri sana. πŸ™πŸ»

JF inatufundisha mengi mno, kuna baadhi ya mitazamo tunaipata kutoka humu ambayo inatusaidia kuifahamu dunia, na
mimi ni shabiki yako namba 5, ambaye nitasimama hata ukikaa! πŸ˜…

JF kama zilivyo jamii zingine tupo watu wa kila namna, tuvumiliane tulisongeshe.
 

Una uhakika gani kama hao wote ni wanawake?
 
Rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…