Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Hawa ndio Wadada wa JF ambao wakiniambia tuliza Munkari ninaweza kutulia na busara zangu kurejea

Dear mtibeli wa watibeli, napokea maua yangu na mwaka unaisha vizuri sana. 🙏🏻

JF inatufundisha mengi mno, kuna baadhi ya mitazamo tunaipata kutoka humu ambayo inatusaidia kuifahamu dunia, na
mimi ni shabiki yako namba 5, ambaye nitasimama hata ukikaa! 😅

JF kama zilivyo jamii zingine tupo watu wa kila namna, tuvumiliane tulisongeshe.
 
Kwema Wakuu!

Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.

Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.

Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.

Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.

Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;

1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.

Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).

Nawatakia Sabato Njema

Una uhakika gani kama hao wote ni wanawake?
 
Kitu kikiwa kizuri kwako ukashindwa kuona ubaya wake elewa kuwa wapo Watu wanaoona ubaya wake.
Na hicho ndicho ninachopishana na Faiza pamoja na watu wa aina yako.

Uislamu ni mzuri lakini haimaanishi hauna ubaya wake. Watu wataupongeza kwa uzuri lakini wapo pia watauponda kwa ubaya wake.

Pole sana mkuu
Rubbish.
 
Back
Top Bottom