Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #101
Nipo mbona
Mvua zinasemaje huko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo mbona
Siku hizi wanaitwa mishangaziMimi mwenyewe umri umeenda mkuu hivyo kwangu ni Wadada.
Ikiwa wewe unamiaka 35 na mwanamke anamiaka 40. Utamuitaje huyo Mwanamke?
Asante sana mkuu sema 🤕Hii mkuu ebu tumsubiri mzee wa kupiga mipira iliyokufa Mzee wa kupambania kama atashindwa amwachie mzabzab mzee wa offsideWapo kibao hata humu wapo. Ngoja niwatag
DR HAYA LAND Half american Wakili wa shetani mshamba_hachekwi
Kutoka kwa mdada mwenzangu, hii inamaanisha kikubwa sana kwangu, Asante sweetheart 🤍binti kiziwi huyu dada ana busara sana anaelekea ni mrembo pia
😂😂😂!!Huwa anaanza yeye.
Nami sina nafasi ya kujishauri mara mbili
Hahha pishi ni lazima tufunge mwaka vizuriKutoka kwa mdada mwenzangu, hii inamaanisha kikubwa sana kwangu, Asante sweetheart 🤍
Heri ya mwisho wa mwaka. Utuletee pishi la kufungia mwaka sis 😀
Kwema Wakuu!
Taikon huambiliki, Taikon ni mbishi sana. Taikon sijui unamfumo dume. Taikon much know. Taikon unadharau na kuwachukia Wanawake. Oooh! Taikon kutwa kucha kuwakandia wanawake. Alafu unakuwa aggressive kama mwendawazimu. Taikon kapime magonjwa ya Akili.
Sawa yote NIMEKUBALI.
Kikawaida Taikon sipendelei kuwasikiliza wanawake. Nina sababu zangu. Sababu kubwa ni kuwa wanawake wengi wanaendeshwa na Mihemko. Na watu wanaoendeshwa na mihemko kikawaida ni wabinafsi. Na Taikon na Watu Wabinafsi ni mbingu na ardhi.
Kimsingi Taikon ni Dikteta hasa akiwa mbele ya Watu Wabinafsi, hasa wanawake wengi.
Na tabia hiyo hataiacha na ninaipenda sana kwa sababu ni ulinzi na usalama.
Pamoja na udikteta, ukoloni, mfumo dume nilionao lakini wapo Wanawake wachache ambao ninaweza kuwasikiliza na wananituliza Munkari.
Mwanamke yeyote ambaye ataweza kutumia akili kuliko hisia zake huyo anauwezo wa kunidhibiti na kuzungumza na Mimi.
Humu JF kuna wanawake ambao ninaweza kuwasikiliza. Yaani wakiniambia acha, naacha. Tulia natulia. Wakiniambia nimeboronga basi najua hapa itakuwa nimeboronga kweli. Ingawaje sio kwa asilimia mia moja lakini angalau asilmia 65% wanaweza kuwa wanasema Kweli.
Wadada/wanawake hao ni kama ifuatavyo;
1. binti kiziwi
2. Nifah
3. Kalpana
4. To yeye
5. Leejay49
6. Joannah
7. Carleen
8. Mamndenyi
9. scolastika
10. Kasie
11. Kelsea
12 na 13 majina yao yamenitoka.
Hawa angalau kidogo hata nikijadiliana nao wakija na mawenge kama siku hiyo hawajaamka vizuri ninaweza kuwastahi na moyo wangu unakuwa mgumu kutoa maamuzi ya hasira(yaukichaa, wendawazimu, majibu ya milembe).
Nawatakia Sabato Njema
Kumbe Dr Lizzy ni pisi kali na hamsemi....beauty with brain@Dr lizy. Nakukubali sana pis kali
Mtibeli hataki kuamini😀Present…! 😂
Rubbish.Kitu kikiwa kizuri kwako ukashindwa kuona ubaya wake elewa kuwa wapo Watu wanaoona ubaya wake.
Na hicho ndicho ninachopishana na Faiza pamoja na watu wa aina yako.
Uislamu ni mzuri lakini haimaanishi hauna ubaya wake. Watu wataupongeza kwa uzuri lakini wapo pia watauponda kwa ubaya wake.
Pole sana mkuu
Asilazimishwe pia 😆Mtibeli hataki kuamini😀
JF ina wanawake mna akili Sana Kama binti Kimosso mtoto wa MtibeliAsilazimishwe pia 😆
Kumekucha 😂😂😂😂Una uhakika gani kama hao wote ni wanawake?
Kumekucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]