Na bado unapumua...safi sana😅Ukweli kuhusu mimi
1.nina kazi
2.sina hela kwa sasa ila huwa napata
3.sina gari
4.sina kiwanja
5.sina mke
6.sina mtoto
7.sina laptop
8.sina passport
List ni ndefu sana
Lakini jamaa kasema aliowahi kuonana nao. Sijaona shida iko wapi kwa maana mimi na wewe hatujui jamaa kakutana na watu wangapi na wamekutanaje na wamekutania wapi na wameongea nini?Panic iko wapi?
Watu wote humu huwa hawadai hayo mambo.
Mwalimu Sharifu ndo nani?Nyani unamkumbuka mwalimu Sharifu huyu kuna siku alinifanyia kitu siwezi msahau
Wewe umeshawahi kukututajia uliowahi kukutana nao?Muongo wewe.
Wataje kwa majina hao uliokutana halafu turquoise hapa waliyasema yote hayo mbele yako.
Ndio sisi hao..mtusamehe tu😅Niliokutana nao mimi wote wana wake zao wanne na wote wamewajengea, hakuna hata mmoja anaefanya kazi kati yao wote anawahudumia yeye kwenye majumba yao🤣 wote hawapendi wanawake wafanya kazi. Jf raha sana sasa sijui hawa marioo tunaowaona huku mitaani ni zao la wapi
Hata katika hao alioonana sidhani kama walimwambia wana hivyo vitu vyote.Lakini jamaa kasema aliowahi kuonana nao. Sijaona shida iko wapi kwa maana mimi na wewe hatujui jamaa kakutana na watu wangapi na wamekutanaje na wamekutania wapi na wameongea nini?
Mkuu hebu njoo tuonane, huenda uzi ukabadilikaHata katika hao alioonana sidhani kama walimwambia wana hivyo vitu vyote.
Uzushi tu.
Acha kwanza kuzusha mambo halafu baada ya hapo tunaweza kuongea.Mkuu hebu njoo tuonane, huenda uzi ukabadilika
Kapovu kamekutoka. Mwenyewe kasema aliokutana nao. Ngoja nimuulize kama kwenye orodha Miss Natafuta yumo, huenda hilo limekupa hofuKudai kwamba wote wako hivi au wote wako vile ni uongo. Ni uzushi.
Je, kati ya hao wanaJF ‘wote’ nawe umo?
Sijawahi kuona popote pale hapa JF ambapo kila mtu alisema ana gari au yeye ni bosi au sijui kasoma shule bora.
Hiyo ‘wote’ ni projection yako tu.
Acheni uzushi na uongo.
Umewazushia hao unaodai umekutana nao.Nimekuzushia nini ngosha?
Unasema kazusha mambo 13, kwani amekutana na wangapi? Hebu tuambieUmewazushia hao unaodai umekutana nao.
Umeorodhesha mambo zaidi ya 13 ambayo unadai walikuambia.
Stop the cap 🤣🤣🤣🤣
Mwulize yeye kakutana na wangapi.Unasema kazusha mambo 13, kwani amekutana na wangapi? Hebu tuambie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona me sina gari, sina nyumba, sina biashara, sina elimu, sio boss, ssiendagi vacation na ni mwana JF? Au ni mimi peke angu?
Mi naona wewe ndio unawakwa na hasira. Au mna ugomvi mwingine tusioujua? Mtu kasema watu alio onana nao yeye binafsiMwulize yeye kakutana na wangapi.
Ok, keep it movin’ then.Mi naona wewe ndio unawakwa na hasira. Au mna ugomvi mwingine tusioujua? Mtu kasema watu alio onana nao yeye binafsi
hahahaha buji buji amesahau yeye ni GILACEWewe ni muongo tu hahahaaaa.
Unataka kujipatia vi brownie points kwa kuwa seam hao uliokutana ili sijui uonekane uko ‘real’.
FOH with that bullshit.
Mtu anaanzaje kukuambia wewe ana hivyo vitu vyote?
‘Aisee Bujibuji, mimi nina gari, nina madigrii, nina ma akaunti Uswisi, nina mashamba, nina matrekta’…
Wewe ni mzushi tu. You don’t sound believable at all.