Hawa ndio wana JamiiForums niliokutana nao

Umesahau JF hakuna One minute man ,wote ni dakika 40 hadi lisaa,
 
Ukitaka kujua Kuna WanaJF wanashida lukuki jaribu kutembelea Uzi huu wa Makapuku Forum.

 
Kuna nyuzi humu zinapingana na usemayo,
Mfano No. 11 inapingana kbs na reality...daily nyuzi za kutafuta wenza zipo humu. Za kutafuta ajira kadharika, watu wana mtajinwa Afu 70 wanaomba ushauri wafanye biashara gani, watu wanauoiza ni wapi wanaweza pata motorcar kwa Mil 1.5.

Concl.
Ume generalize sana, humu JF ni kama jamii yyt ile popote pale wanatofautiana kwa health na wealth pia.... na majority wapo real isipokuwa wachache ambao wanajikweza wakikinzana na hali zao halisi!!
 
Nimesema niliokutana nao. Muwe mnasoma kwa kutulia
 
JF hakuna wadada...
labda 'wabibi...'

Ila kuna wanaotumia IDs za kidada kwa sababu maalum tu!
 
Ulipotea sana aisee
 
Siri imevuja...
 
Nice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ