Huyo huyo, ni kama Theo Walcot tu alienda kombe la dunia akiwa na miaka 17 tu lkn mpaka sasa anmefanya niniNeymar huyu huyu ambae dunia ilitambua jipaj chake toka yuko Brazil akiwa na miaka16 acheni unazi mtu anaeufahamu Mpira hawezi akasema mbele za watu et neymar ni overrated player
Kaangalie tena drogba ni noma ni legend. Na ni top scorer ChelseaNahapo pia umekwanga mkuu.
Nakubali kama Zlatan ni overated. Lakini kumlinganishana Drogba na Etoo pia umemvunjia heshima mkuu.
Drobga ni striker ambaye hata guarantee ya 20 goals a season hupati. Wakati Zlatan ni 30 goals guarantee striker.
Jaribu kueka pembeni hisia kali za Uafrica mkuu.
Unamfananisha neymar na Walcott?...mapenzi yakizid huaribu dhana nzima ya soka...unaizungumzia England ambayo hata kipaji cha isco kwa sasa hawana.hao england si walienda na Beckham world cup kule ujerumani kisa akae tu kwenye benchi ili kuzisumbua kameraHuyo huyo, ni kama Theo Walcot tu alienda kobe la dunia akiwa na miaka 17 tu lkn mpaka sasa anmefanya nini
Hayo ndo matatizo ya kuanza kuangalia mpira miaka ya 2009...mtu anaefaham soka hawez kusema eti cavani ni bora kuliko zlatan....cavani huyu anaekosa kosa magoli kipuuzInawezekana haju kuwa alianzia ajax pale.
Acha uwongo drogba sio top scorer wa chelsea....frank8 lampard ndo mbabe pale ana goli211...didier yuko no4 ana goli 164Kaangalie tena drogba ni noma ni legend. Na ni top scorer Chelsea
Nilichanganya mkuu namsema huyu huyu Arturo Vidal raia wa Chile anayechezea Bayern. Niliandika kwa bahat mbaya coz huyu jamaa makal yake makubwa aliyaonyesha akiwa juve akishirikiana na Pogba pamoja na Pirlo.Poa mkuu. Anachezea tim ya ujerumani. Bayern Munich..au kuna mwingine anapatikana juve?
Uliwasahau hawa watu wawili Juan roman Riqelme na Marcos senna....alaf anamtaja kante ivi Claude makelele atakaa wapi?Matatizo ya mengine yanakuja hapa.
Utawataje Lampard na Gerard pamoja na Zidane, Xavi, Pirlo, Iniesta ???? huhisi kama unawavunjia heshima wazee? mbaya zaidi umefikia mpaka kujumisha Kante???
Lampard na Gerard ni katika most overrated players ever. Midfield haziwezi hata kumiliki mipira vizuri tunaamibiwa wamo katika midfield bora, ikiwa wao ni bora Zidane, Deco, Ronaldinho, Rui Costa, Laudraup, Xavi, Pirlo, Iniesta, shwansteiger, Mudric, Kroos, Seedorf, Juninho, Veron, Dunga, Watakua nani hao?? Je unaweza kuwalinganisha kwa kipi na hawa?? au kukaa chini ya mabeki kuvizia mpira uzagae wapige mashuti?
Wachambuzi mpira kwa njia ya kubeti hao ndugu, yaani akibeti akashinda anaona huyo ndio mchezaji soka anaekubalika ila akichemka anaona sio kbsUliwasahau hawa watu wawili Juan roman Riqelme na Marcos senna....alaf anamtaja kante ivi Claude makelele atakaa wapi?
Kwenye Mpira kuna wapenzi na mashabiki wa mpira...ushabiki ukizidi huaribu maana nzima ya mpiraWachambuzi mpira kwa njia ya kubeti hao ndugu, yaani akibeti akashinda anaona huyo ndio mchezaji soka anaekubalika ila akichemka anaona sio kbs
Sahihi kbsKwenye Mpira kuna wapenzi na mashabiki wa mpira...ushabiki ukizidi huaribu maana nzima ya mpira
Uliwasahau hawa watu wawili Juan roman Riqelme na Marcos senna....alaf anamtaja kante ivi Claude makelele atakaa wapi?
Kwenye hilo kundi ulilolitaja, Iniesta hawezi kuingia, alikuwa bado bwa'mdogo, Kroos yupi hapo unamaanisha?Matatizo ya mengine yanakuja hapa.
Utawataje Lampard na Gerard pamoja na Zidane, Xavi, Pirlo, Iniesta ???? huhisi kama unawavunjia heshima wazee? mbaya zaidi umefikia mpaka kujumisha Kante???
Lampard na Gerard ni katika most overrated players ever. Midfield haziwezi hata kumiliki mipira vizuri tunaamibiwa wamo katika midfield bora, ikiwa wao ni bora Zidane, Deco, Ronaldinho, Rui Costa, Laudraup, Xavi, Pirlo, Iniesta, shwansteiger, Mudric, Kroos, Seedorf, Juninho, Veron, Dunga, Watakua nani hao?? Je unaweza kuwalinganisha kwa kipi na hawa?? au kukaa chini ya mabeki kuvizia mpira uzagae wapige mashuti?
Mkuu zlatani moja ya weekness kubwa aliyowahi kuwa nayo kwenye maisha ya soka ni kutocheza vizuri big and important games,kiufupi jamaa sio mchezaji wa match kubwaNahapo pia umekwanga mkuu.
Nakubali kama Zlatan ni overated. Lakini kumlinganishana Drogba na Etoo pia umemvunjia heshima mkuu.
Drobga ni striker ambaye hata guarantee ya 20 goals a season hupati. Wakati Zlatan ni 30 goals guarantee striker.
Jaribu kueka pembeni hisia kali za Uafrica mkuu.
Ni kweli requelme aligombana na maradona akaamua kustaafu national team...ila ni moja yakipaj bora kabisa kuwahi kutokea na aliachana na soka la ulaya kisa matatizo ya kifamiliaTena huyo requelme alifananishwa na Zidane katika ubora wake. Jamaa ni alikuwa anauchezea mpira anavyotaka but hakuwa na bahati tu, na vile vile kwenye w/c south africa maradona hakumuingiza katika kikosi, i think walikuwa na bifu flani ivi.
Ni kweli requelme aligombana na maradona akaamua kustaafu national team...ila ni moja yakipaj bora kabisa kuwahi kutokea na aliachana na soka la ulaya kisa matatizo ya kifamilia
Nakumbuka aliondoka Barcelona baada ya ujio wa Gaucho ikawa hakuna namna lazma ampishe fundi wa mpiraKabisa. Jamaa kanisikitisha sana. Mcheki hapa
Mpira ni biashara na kuna wachezaji wanakuzwa tu sababu za kibiashara. jambo la kusikitisha tu kuna vifaa na watu waliokuwa wanajuwa mpira sio mfungaji bora. kuna tofauti mfungaji bora na mchezaji bora sasa inasikitisha watu kama Scholes na Xavi walikuwa wanajuwa mpira lakini kwenye media kama hawako sababu hawakuwa brands. inabidi tuache kukariri kama tunavyolazimishwa. CR7 ni mfungaji sio lazima mchezaji bora.