Hawa ndio wanasoka wanaopewa kick sana kuliko uwezo wao

Nahapo pia umekwanga mkuu.
Nakubali kama Zlatan ni overated. Lakini kumlinganishana Drogba na Etoo pia umemvunjia heshima mkuu.
Drobga ni striker ambaye hata guarantee ya 20 goals a season hupati. Wakati Zlatan ni 30 goals guarantee striker.
Jaribu kueka pembeni hisia kali za Uafrica mkuu.
Kaangalie tena drogba ni noma ni legend. Na ni top scorer Chelsea
 
Mkuu hapo kwa Neimar jr umechemka kinoma noma......
Tuachie Neimar wetu aisee
 
Huyo huyo, ni kama Theo Walcot tu alienda kobe la dunia akiwa na miaka 17 tu lkn mpaka sasa anmefanya nini
Unamfananisha neymar na Walcott?...mapenzi yakizid huaribu dhana nzima ya soka...unaizungumzia England ambayo hata kipaji cha isco kwa sasa hawana.hao england si walienda na Beckham world cup kule ujerumani kisa akae tu kwenye benchi ili kuzisumbua kamera
 
Inawezekana haju kuwa alianzia ajax pale.
Hayo ndo matatizo ya kuanza kuangalia mpira miaka ya 2009...mtu anaefaham soka hawez kusema eti cavani ni bora kuliko zlatan....cavani huyu anaekosa kosa magoli kipuuz
 
Poa mkuu. Anachezea tim ya ujerumani. Bayern Munich..au kuna mwingine anapatikana juve?
Nilichanganya mkuu namsema huyu huyu Arturo Vidal raia wa Chile anayechezea Bayern. Niliandika kwa bahat mbaya coz huyu jamaa makal yake makubwa aliyaonyesha akiwa juve akishirikiana na Pogba pamoja na Pirlo.
 
Matatizo ya mengine yanakuja hapa.

Utawataje Lampard na Gerard pamoja na Zidane, Xavi, Pirlo, Iniesta ???? huhisi kama unawavunjia heshima wazee? mbaya zaidi umefikia mpaka kujumisha Kante???

Lampard na Gerard ni katika most overrated players ever. Midfield haziwezi hata kumiliki mipira vizuri tunaamibiwa wamo katika midfield bora, ikiwa wao ni bora Zidane, Deco, Ronaldinho, Rui Costa, Laudraup, Xavi, Pirlo, Iniesta, shwansteiger, Mudric, Kroos, Seedorf, Juninho, Veron, Dunga, Watakua nani hao?? Je unaweza kuwalinganisha kwa kipi na hawa?? au kukaa chini ya mabeki kuvizia mpira uzagae wapige mashuti?
Uliwasahau hawa watu wawili Juan roman Riqelme na Marcos senna....alaf anamtaja kante ivi Claude makelele atakaa wapi?
 
Wachambuzi mpira kwa njia ya kubeti hao ndugu, yaani akibeti akashinda anaona huyo ndio mchezaji soka anaekubalika ila akichemka anaona sio kbs
 
Kwenye Mpira kuna wapenzi na mashabiki wa mpira...ushabiki ukizidi huaribu maana nzima ya mpira
 
Uliwasahau hawa watu wawili Juan roman Riqelme na Marcos senna....alaf anamtaja kante ivi Claude makelele atakaa wapi?

Tena huyo requelme alifananishwa na Zidane katika ubora wake. Jamaa ni alikuwa anauchezea mpira anavyotaka but hakuwa na bahati tu, na vile vile kwenye w/c south africa maradona hakumuingiza katika kikosi, i think walikuwa na bifu flani ivi.
 
Matatizo ya mengine yanakuja hapa.

Utawataje Lampard na Gerard pamoja na Zidane, Xavi, Pirlo, Iniesta ???? huhisi kama unawavunjia heshima wazee? mbaya zaidi umefikia mpaka kujumisha Kante???

Lampard na Gerard ni katika most overrated players ever. Midfield haziwezi hata kumiliki mipira vizuri tunaamibiwa wamo katika midfield bora, ikiwa wao ni bora Zidane, Deco, Ronaldinho, Rui Costa, Laudraup, Xavi, Pirlo, Iniesta, shwansteiger, Mudric, Kroos, Seedorf, Juninho, Veron, Dunga, Watakua nani hao?? Je unaweza kuwalinganisha kwa kipi na hawa?? au kukaa chini ya mabeki kuvizia mpira uzagae wapige mashuti?
Kwenye hilo kundi ulilolitaja, Iniesta hawezi kuingia, alikuwa bado bwa'mdogo, Kroos yupi hapo unamaanisha?
Hivi Dunga alikuwa anacheza namba ngapi?
 
Nahapo pia umekwanga mkuu.
Nakubali kama Zlatan ni overated. Lakini kumlinganishana Drogba na Etoo pia umemvunjia heshima mkuu.
Drobga ni striker ambaye hata guarantee ya 20 goals a season hupati. Wakati Zlatan ni 30 goals guarantee striker.
Jaribu kueka pembeni hisia kali za Uafrica mkuu.
Mkuu zlatani moja ya weekness kubwa aliyowahi kuwa nayo kwenye maisha ya soka ni kutocheza vizuri big and important games,kiufupi jamaa sio mchezaji wa match kubwa
 
Tena huyo requelme alifananishwa na Zidane katika ubora wake. Jamaa ni alikuwa anauchezea mpira anavyotaka but hakuwa na bahati tu, na vile vile kwenye w/c south africa maradona hakumuingiza katika kikosi, i think walikuwa na bifu flani ivi.
Ni kweli requelme aligombana na maradona akaamua kustaafu national team...ila ni moja yakipaj bora kabisa kuwahi kutokea na aliachana na soka la ulaya kisa matatizo ya kifamilia
 
Kabisa. Jamaa kanisikitisha sana. Mcheki hapa

Mpira ni biashara na kuna wachezaji wanakuzwa tu sababu za kibiashara. jambo la kusikitisha tu kuna vifaa na watu waliokuwa wanajuwa mpira sio mfungaji bora. kuna tofauti mfungaji bora na mchezaji bora sasa inasikitisha watu kama Scholes na Xavi walikuwa wanajuwa mpira lakini kwenye media kama hawako sababu hawakuwa brands. inabidi tuache kukariri kama tunavyolazimishwa. CR7 ni mfungaji sio lazima mchezaji bora.
 
Scholes bado alikua anauwezo wakawaida tu nae kwenye ulimwengu wasoka, Ila ni kweli kwa PL alikua yupo juu kiuwezo.
unamfahamu Rui Costa?, Aimar? mehmet Scholl?
 
Back
Top Bottom