Matatizo ya mengine yanakuja hapa.
Utawataje Lampard na Gerard pamoja na Zidane, Xavi, Pirlo, Iniesta ???? huhisi kama unawavunjia heshima wazee? mbaya zaidi umefikia mpaka kujumisha Kante???
Lampard na Gerard ni katika most overrated players ever. Midfield haziwezi hata kumiliki mipira vizuri tunaamibiwa wamo katika midfield bora, ikiwa wao ni bora Zidane, Deco, Ronaldinho, Rui Costa, Laudraup, Xavi, Pirlo, Iniesta, shwansteiger, Mudric, Kroos, Seedorf, Juninho, Veron, Dunga, Watakua nani hao?? Je unaweza kuwalinganisha kwa kipi na hawa?? au kukaa chini ya mabeki kuvizia mpira uzagae wapige mashuti?