Hawa ndio wasanii wa Tanzania wenye hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki. Nani kasahaulika?

Hawa ndio wasanii wa Tanzania wenye hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki. Nani kasahaulika?

sema kati ya hao wote mi naona bonta umemuonea sana,maana picha tu inamuonesha ana mchoko
 
fid q
yuko njema ila sio mtu wa show off
 
Unaongelea Ile rols royce used iliyokuja na tairi kipara... [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ile hata ghorofa haijengi ikamaliza
Dogo anazingua. Gari ulinganishe na hotel ile? Hata kama gari ni ya Gharama lakini Hotel ni Asset angesema kwa angle nyingine tu ningeelewa kwamba Platnumz ana hela ingetosha.
 
Sijui ni Mimi tu nimeelewa tofauti? sky soldier ameweka bayana wasanii wenye hali nzuri nje ya Sanaa ya mziki. Nafikiri alilenga wale ambao kwa sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu za kujiingizia kipato.

Sasa watu wanataka waingizwe kwenye orodha akina Diamond au Lady Jaydee wakati wao bado wanafanya mziki.

Tujitahidi kidogo kuongeza umakini Kwa kusoma na kuelewa kabla ya kuuliza au kuandika jambo, hata mimi kuna wakati nafanya haya makosa.
Mkuu uko sahihi kabisa. Kwa hali hiyo haya yanaendaga hv hv mpaka kwenye DP WORLD. Swali lipo wazi kabisa lakini sijui watanzania hawajui kusoma au ndio uvivu.
 
Sijui ni Mimi tu nimeelewa tofauti? sky soldier ameweka bayana wasanii wenye hali nzuri nje ya Sanaa ya mziki. Nafikiri alilenga wale ambao kwa sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu za kujiingizia kipato.

Sasa watu wanataka waingizwe kwenye orodha akina Diamond au Lady Jaydee wakati wao bado wanafanya mziki.

Tujitahidi kidogo kuongeza umakini Kwa kusoma na kuelewa kabla ya kuuliza au kuandika jambo, hata mimi kuna wakati nafanya haya makosa.
Vyema kabisa.
 
Nilichoelewa mimi wengi aliowataja hapo ni kama wamesimama, kuacha muziki ama kuacha kuutegemea muziki na kuamua kufanya mambo mengine badala yake. Ndio maana hajamuweka Diamond na wengine kama huyo.

Na kuhusu huyo Nikki wa Pili sio kwamba kwenye muziki anashindwa kuingiza pesa anayopata kwenye hicho cheo cha DC. Ana malengo yake kuwa hapo. Nadhani anauona huo uDC kama mwanzo wa ndoto zake kubwa kisiasa.
 
Back
Top Bottom