Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Baada ya mafunzo watarudi Tanzania kueneza ujuzi huo Kwa wenzao Kwa Kuanzisha mashamba darasa.

=====

DAR ES SALAAM
SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo takribani vijana 260 wanapelekwa nchini Israel kupata mafunzo ya kilimo.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya kuwaaga vijana wanaotarajiwa kwenda nchini Israel kuhudhuria mafunzo ya kilimo cha kisasa, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na wenye Ulemavu), Profesa Jamal Katundu amesema vijana hao watakuwa na mafunzo ya darasani lakini pia mafunzo kwa vitendo.

Amesema fursa hiyo imepatikana kutokana na jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu wa Israel ambao wamekuwa wakizungumzia suala hilo kwa ajili ya kujenga uwezo wa vijana kwenye sekta ya kilimo

Prof. Katundu amewasihi vijana hao kuitumia elimu wanayoipata nchini humo, ili waweze kujikwamua kiuchumi na kuwa chachu katika jamii na Taifa kwa ujumla.

Imeandaliwa na Lovin Keffa-Habari Leo

=====

My Take
Bado Rais Samia anaendelea Kuonesha dira na njia ya Vijana kupita.

Vijana msipotoka awamu hii ya Rais Samia kwenye Kilimo hamtatoboa tena.
 
Bora wangekuwa na majina ya kiislam wangeonewa huruma na hamas ila majina ya kigalatia hayo tuwaombee tu.
 
ni rahisi sana, Serikali imwite tu balozi wa palestina imwambie awapigie simu hamas waachie watoto wetu basi. balozi wa palestina yupo hapahapa na alishaomba watanzania tuilaani israel.
Kwani nch hii ina viongozi sasa
Hawajui hata kazi yao ni nini
Wanachoweza kuwaza ni uchaguzi hilo kwao ndiyo jambo la msingi


Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Hii program huwa ni mwaka mmoja walirudi mwaka jana.

Hapo ni kuomba Mungu wasije wakakatwa vichwa na hamas

na huko walipo hawa vijana Mungu asaidie wawe wapolee tuu maana hawa jamaa ukileta jeuri kidogo tuu huna shingo tena ni wakristo ndo hatari zaidi.
 
Hamas hawawezi kuaa mateka hata mmoja hao wanakaa nao vizuri kama defensive mechanism....

Inakuwa ni advantage kwao hao mateka ni shield dhidi ya wapinzani kama wakiwamaliza kuna ishu ya UN kuingiliq kati wazi wazi.
 

Mkuu wakati hamas wanarusha maroketi kuua na kuteka raia hovyo kwenye tamasha ile jmmos ya tarehe 7,ulitoa tamko lipi kuunga mkono ama kulaani?
 
ngoja tuone wavaa kobaz wa tanzania kama wataandamana ili watanzania hawa ambao kwao ni makafir waachiwe au wana uchungu na wapalestina peke yake.

wenye govi mnawachukiwa sana warabu
 
tatizo la kupelekwa nje ya nchi kiundugu ni kiujamaa mnawacha wahitaji
 
Hao MPs WA lugalo waend huko special mission wakawakomboe wa Raia
 
Uyo mwananwa Gunners apewe taarifa jana tumepiga mtu 5.
 
Mkuu wakati hamas wanarusha maroketi kuua na kuteka raia hovyo kwenye tamasha ile jmmos ya tarehe 7,ulitoa tamko lipi kuunga mkono ama kulaani?
Waislamu ambao hawafuati mambo kiushabiki mfano huyo chini siku ya tukio kwenye uzi maalumu alitoa comment hiyo na mimi nikaiLike.
Na mimi siku hiyo nikamjibu kwa kusema hivi.

Makatazo ya uislamu katika Jihad ya kweli ni hayo.



Cc : Maghayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…